Ligi
kuu ya Uingereza imezidi kusisimua tangu kampeni ya msimu 2014-2015
ianze huku baadhi ya timu zikionyesha viwango vya hali ya juu sana
wakati nyingine zikionekana kuhaha.
Baadhi
ya wachezaji wamekuwa wakitoa mchango mkubwa sana katika timu zao na
kuhakikisha zinapata matokeo yaliyo mazuri kwenye kila mchezo.
Wachezaji
ishirini wameingia katika kinyang'anyiro cha kuwania uwanasoka bora wa
mwaka wa Ligi hiyo maarufu zaidi duniani ambapo watachujwa na kubakia
sita ifikapo mwezi Mei.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wanaopewa nafasi ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu huu:
# | Mchezaji | Timu |
---|---|---|
1 | Eden Hazard | Chelsea |
2 | Harry Kane | Tottenham Hotspur |
3 | Diego Costa | Chelsea |
4 | Sergio Agüero | Manchester City |
5 | Cesc Fabregas | Chelsea |
6 | Alexis Sanchez | Arsenal |
7 | David de Gea | Manchester United |
8 | Raheem Sterling | Liverpool |
9 | David Silva | Manchester City |
10 | Philippe Coutinho | Liverpool |
11 | Santi Cazorla | Arsenal |
12 | Wayne Rooney | Manchester United |
13 | Thibaut Courtois | Chelsea |
14 | Christian Eriksen | Tottenham Hotspur |
15 | Nemanja Matic | Chelsea |
16 | Yaya Toure | Manchester City |
17 | Chris Smalling | Manchester United |
18 | Daniel Sturridge | Liverpool |
19 | Robin van Persie | Manchester United |
20 | Steven Gerrard | Liverpool |
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >