Habari Kali
Loading...

POLISI WANYANG’ANYWA WATUHUMIWA, WACHOMWA MOTO NA WANANCHI!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Makongoro Oging
Hii  si poa! Raia wenye hasira, katikati ya wiki iliyopita waliwachukua vijana wawili wanaotuhumiwa kuwa majambazi, waliokuwa mikononi mwa polisi, ambao majina yao yametajwa kuwa ni Mnubi na White kisha kuwateketeza kwa moto baada ya kuwabaini kuwa ndiyo waliohusika na uvamizi na uporaji wa maduka mawili ya huko Mwika-Madukani, Moshi vijijini.

Chanzo chetu kililiambia gazeti hili kuwa, vijana hao wakiwa na silaha, walionekana wamepanda pikipiki moja na kuvamia maduka hayo mawili na kupora fedha kiasi ambacho bado hakijajulikana, kabla ya kutoweka.

Kesho yake walikamatwa na wananchi walioshirikiana na polisi, baadaye kukatokea kutoelewana baada ya jeshi hilo kutaka kuwachukua ili kuwapeleka mbele ya sheria.


“Polisi waliwaweka katika gari lao ili waondoke nao, lakini wananchi waliwachomoa na kuwapa kipigo kisha kuwateketeza kwa moto, askari walijaribu hata mabomu ya kutoa machozi, lakini wakazidiwa,” kilisema chanzo hicho.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Godfrey Kamweli alikiri kutokea kwa tukio hilo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top