WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mifupa mitatu ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).
Kamanda
wa Polisi mkoani Kagera Henry Mwaibambe alisema kuwa tukio hilo
limetokea juzi katika kijiji cha Kyota kata ya Kimwani wilayani Muleba
mkoani humo baada ya jeshi hilo kuweka mtego kwa watuhumiwa hao ambao
walikuwa wanatafuta wateja wa viungo hivyo.
Aliwataja
watuhumiwa hao kuwa ni James Rutozi (66) mkazi wa Kimwani ambaye ndiye
aliyekuwa anahifadhi viungo hivyo na Emanueli Kaloli (50) ambaye pia ni
mkazi wa Kimwani aliyekuwa anatafuta mteja wa viungo hivyo.
Alisema
mara baada ya kupata taarifa kuwa kuna watu wanauza viungo hivyo kwa Sh
milioni 3 waliweka pesa za mitego na kujifanya wao ni wateja na ndipo
walipowakamata watuhumiwa hao wawili ambao walikutwa na mfupa mmoja na
walipowabana zaidi ndipo walitoa mifupa miwili.
Alisema
mnamo mwaka 2006 katika kijiji cha Rushwa kata ya Mushabago wilayani
Muleba, Zeulia Jestus akiwa na miaka 24 mwenye ulemavu wa ngozi (albino)
alifariki dunia muda mfupi baada ya kujifungua na ndipo watuhumiwa hao
walifukua kaburi hilo mwaka 2008 kwa maelekezo ya mganga wa jadi.
Alisema
pia walipotaka kujiridhisha jeshi hilo liliomba kibali mahakamani ili
kufukua kaburi hilo mnamo Machi 23, mwaka huu lilipofukuliwa
liligundulika kuwa viungo hivyo vimetolewa katika mwili wa marehemu
huyo.
Aidha,
jeshi hilo linamtafuta mganga wa jadi aitwaye Mutalemwa Revocatus
ambaye ametoroka kabla hajakamatwa ambaye ndiye aliyewashawishi wafukue
hilo kaburi na kuwapa dawa ya kinga ili wasidhurike wakati wanafukua.
Aliongeza
kuwa mnamo mwaka 2008 wananchi wa kata hiyo ya Mushabago walitoa
taarifa kwa Jeshi la Polisi kuwa kaburi alilozikwa marehemu Zeulia
lilifukuliwa na watu wasiojulikana baada ya kugundua tukio hilo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >