Mpekuzi blog
Sakata hili limetokea maeneo ya Mabibo Hostel ambapo kijana ambae ni mwanafunzi wa chuo alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.
Baada ya kukamatwa na mume wa mwanamke
huyo, mwanafunzi huyo amesema kuwa mume wa mwanamke huyo alimkuta akiwa
ndani kwake akijaribu kumshawishi mke wake ili alale nae, lakini
anajitetea kwamba ni bahati mbaya tu imetokea hivyo.
Akizungumzia tukio hilo mume wa mke huyo
amesema alikuwa amelala akaona message inaingia kwenye simu ya mke
wake, alipomuuliza alimwambia hamjui mtu aliyetuma message hiyo..
mwanaume akamwambia amshawishi aje ili amuone.
Kijana huyo alipofika aliingia ndani na
kuanza kumbembeleza mwanamke huyo walale, mwanaume akajitokeza na kuanza
kumpiga.. mfukoni alikutwa na condom pamoja na shilingi 600.
Baadaye mwanaume huyo alimpeleka Polisi huku akiendelea kujitetea kwamba ni bahati mbaya imetokea hivyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >