Hofu imewakumba waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephano, Kisarawe mkoani Pwani katika ibada ya Ijumaa Kuu baada mtu mmoja kukamatwa katikati ya ibada ya Ijumaa Kuu akiwa na bastola yenye risasi nane.
Kwa
mujibu wa habari zilizopatikana kutoka kwa waumini na kuthibitishwa na
polisi, mwanaume huyo ambaye si muumini wa kanisa hilo anadaiwa kutaka
kufanya uhalifu kanisani hapo na alikamatwa baada ya waumini kushtukia
mienendo yake isiyo kuwa ya kawaida.
Tukio
hili limetokea katika kipindi ambacho kuna tishio la uhalifu
unaohusishwa na ugaidi katika maeneo mbalimbali nchini, ambapo kuna
uporaji wa silaha unaofanywa na watu wasiojulikana baada ya kuwaua
polisi.
Vilevile
tukio hili limetokea wakati waumini hao hawajasahau mauaji ya kutisha
nchini Kenya ambako magaidi wamevamia Chuo Kikuu cha Garissa na
kuua wanafunzi 147.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >