Wewe ni dereva wa basi la
abiria ama gari binafsi ? hebu chukua hatua ya kupunguza ajali leo
kwa kujihadhari na kona hizi na Iyovi na Kitonga na kona nyingine
kali kama hizi nchini kwani maisha yako ni dhamani kubwa na uhai
wake bado tunautamani.
Vema kuheshimu alama za barabarani na kuacha mbwembwe uwapo barabarani katika kona kali kama hizi.
Katika kona kama hizi zingatia alama za usalama barabarani usiwe na haraka ya kulipita gari la mbele.
Kulipita gari la mbele katika kona kama hizi ni hatari.
Hapa
ni eneo ambalo watu 19 walipoteza maisha kwa fuso kugongana na basi
na Nganga na kisha kuwaka moto uzembe ukiwa ni wa dereva wa basi
aliyetaka kulipita gari la mbele katika kona kali.
Usilipite gari katika kona kama hili.
Alama zote za barabarani ni msaada kwa maisha yako lazima uziheshimu
Kona zote ni hatari kwa usalama wako hivyo usihame saiti yako ili kukimbia ajali.
Lazima unapotaka kulipita gari la mbele uwe una uwezo wa kuona mbali zaidi ya mita 100 ama zaidi.
Dereva makini halipiti gari la mbele katika kona
Kumbuka ni heri kuchelewa ukafika salama kuliko kuendesha kwa haraka na ukafika majeruhi ama maiti tambua Taifa linakuhitaji familia inakuhitaji na wewe dereva ni msaada wa abiria wote katika gari lako na msaada wa maisha yako jitambue ,watambue abiria wako , jilinde utulinde abiria wako maisha yako ni yetu na uhai wako ni tegemeo letu epuka ajali zingatia sheria za barabarani. IMETOLEWA NA MATUKIODAIMABLOG |
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >