Habari Kali
Loading...

TUNDA MAN ATUKANWA INSTAGRAM BAADA YA POST PICHA YA SHOW YAKE KENYA DAKIKA KADHAA KUTOKEA KIFO CHA ABDUL BONGE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Tunda Man 3
Jana ndio mwanzilishi wa kundi la Bongofleva la Tiptop Connection Abdul Bonge amezikwa Morogoro baada ya kufariki weekend iliyopita kutokana na kuanguka vibaya alipokua akiamulia ugomvi wa jirani yake.
Dakika kadhaa tu baada ya kifo cha Abdu Bonge, msanii wa TipTop Connection Tunda Man alipost picha kwenye account yake ya Instagram akiwaambia mashabiki wake wa Kenya wakae tayari kwa show yake akisema ‘Pande za 254 kitawaka mbaya pale jamboree Mombasa, watu wa Mombasa tukutane palee

Ni post ambayo ilifanya mashabiki wengine wamtukane, wengine wamlaumu na wengine wahisi kama aligombana na Tiptop hivyo hana shughuli na yanayoendelea kwao ambapo pamoja na hayo, Tunda Man amesema wote hao hawakuwa wanaujua upande wa pili wa picha hiyo, yani kilichotokea hasa.
Akiongea akiwa analia Tunda Man amesema
Abdu Bonge ndio aliipost hiyo picha mimi nilikua naendesha gari manake alikua anajua mimi nilikua natakiwa kwenda Mombasa wiki hii, simu haikuwa na hela kwa hiyo baadae nilipoweka pesa ndio ikajipost wakati nikitaka kuweka picha ya Marehemu, ilivyojipost ikabidi niende nikaifute nikaweka nyingine’
Tunda man 4Ni mtu ambae nilikua napiga nae picha nyingi na huwa anazipost mwenyewe, ana comment sababu anajua mimi ni mzembe naweza nisiwe nakumbuka kupost kuhusu kutangaza show zangu, bila Abdul Bonge sidhani kama kuna mtu angemjua Tunda Man sasa hivi
Sauti yake nyingine Tunda unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa chini
Tunda man 5

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top