Habari Kali
Loading...

USIYAKIMBILIE MAPENZI, YATAKUKIMBIA! SOMA HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
KAMA Mungu ataendelea kutenda maajabu yake, basi kesho mimi na wewe tutakuwa tunasheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Yesu Kristo, zaidi ya miaka 2000 iliyopita pale Bethlehem, ambayo sisi tunaiita Krismasi.
Ni siku kubwa kote ulimwenguni na watu wa dini mbalimbali huitambua na kuithamini. Ni jambo la kunitia faraja kwamba nimepata mwaliko wa kwenda kula pilau sehemu na kwa jinsi nilivyo na hamu na hiyo kitu, hakika sitakosa.
Leo tunakutana tena katika eneo letu hili la kujidai, la kufundishana, kuburudishana, kuhamasishana na hata kufarijiana. Ni vile tu nyinyi mmekuwa mkinitenga, kwa sababu nilishatoa ofa hapa, njoo jianike uelezee kisa chako cha kimapenzi kilichokukera, kukufurahisha, kukukosesha amani na vitu kama hivyo. Unajua tena, mapenzi haya, hakuna anayeweza kusema hausiki nayo!
Kichwa cha habari hapo juu nimekwambia usiyakimbilie, maana ukienda macho juu, yenyewe yatakukimbia na kukuacha ukijutia pasipo kupata mtu wa kushiriki naye maumivu. Kwa mtu ambaye atafikiri haraka, atafikiri habari hii inawahusu watu wanaojiingiza katika mapenzi kwa mara ya kwanza. Hapana, hapa ninazungumzia wote.
Na hii haiko kwa wanawake tu, hapa ni kila mtu, awe mkaka au mdada, wote tunapaswa kuwa makini sana ili tusije kugeuka watumwa wa mapenzi kwa kujitakia. Wapo baadhi yetu ambao macho ya mara moja tu kwa mtu, yanachukua nafasi zote muhimu maishani mwetu. Macho haya ya mara moja, yana maana ndefu kidogo na hapa nitafafanua kidogo.
Tumekutana leo kwenye mishemishe za Krismasi pale Kariakoo, wewe ni mdada, nimekukuta unafanya shopping, mara nikashtukia kibaka anataka kukuibia, nikakushtua ukaokoa fedha zako hatua za mwisho. Kwa mchecheto wako unaamua kuondoka kabisa dukani, lakini mimi nakutuliza, nakusogeza pembeni kwenye kibanda cha juice, tunaanza kupiga stori mbili tatu za kukusahaulisha mkasa uliotokea.
Baada ya kupiga stori mbili tatu, ambazo mimi naamua kwa makusudi kutia chumvi na kukuonyesha kwa kiasi gani nimezaliwa nikiwa mwema, unaniachia namba ya simu na wakati ukienda nyumbani, unaanza kuniandalia makazi katika moyo wako dhaifu!
Hapa ndipo ninapotaka wote twende pamoja. Kibinadamu, mtu yeyote anayekufanyia jambo jema, ni wa kumshukuru. Fikiria, mtu amekusaidia umeokoa fedha zako, siyo jambo dogo na kama hautamshukuru, laana ya Muumba itakurudia.
Huo ni mfano mmoja wa jicho la mara moja. Kuna matukio mengi yanatokea ambayo yanatukutanisha na watu tunaowatamani, na wengine tukihaha kabisa kuona kwa nini Mungu asikupatie fursa ya kuwa na mtu wa ndoto zako.
Ingawa sisemi kuwa mwanaume au mwanamke bora kwako ni yule ambaye unamfahamu kwa kipindi kirefu, lakini kitu cha msingi kabisa unachopaswa kukiweka akilini ni kwamba ni nadra sana kukutana na mtu anayeweza kuwa tulizo la moyo wako kwa jicho la kwanza.
Mara nyingi, hapa nawazungumzia zaidi wanaume, hujifanya kuwa na ukarimu sana linapokuja suala la matamanio kwa mwanamke wanayemuona anafaa kwa uhusiano. Usishangae, anaweza kumkuta msichana dukani na akamuongezea fedha zilizopungua hadi dada wa watu akamuona ni mtu wa ajabu, “simjui hanijui lakini kaniongezea elfu 50?”
Tahadhari yangu kwenu ni kutojirahisi kwa sababu binadamu wana mbinu nyingi za kuwarubuni wenzao. Wapo wanaohitaji ushiriki wa ngono tu, hawa sawa, lakini kuna wengine wana mahitaji ya hatari zaidi. Kakuona una ‘kidoti’, yeye kaambiwa na mganga wake akipeleke kidoti kikiwa kwenye nyama yake, unategemea nini?

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top