WAPENDA
USAWAAina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi
niwanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu
yakifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza
jamiikwa asilimia 50 kwa 50
WANAOJUA
MAPENZIWanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao
kubwa niuwezo wa kuwatosheleza wenzi wao katika tendo la ndoa. Tafiti
zinaonesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika mchezo wa
sita kwasita. Mara nyingi wanatajwa kuwa na uwezo wa kuteka akili za
wanaumebila kujali sifa zao za nje au za ndani
MARAFIKI Wanawake
wenye sifa sawa na rafiki ni aina ya nne inayowavutia wanaume.Wao
hutegemea zaidi nguvu ya kushawishi inayotokana na namna wanavyojali na
kujitolea kuhakikisha wanakuwa marafiki wa kweli kwenye shida naraha kwa
wapenzi wao. Si wakorofi, ni waungwana na wapenda amani
WAPENDA
UWAZI Aina nyingine ya wanawake inayowavutia wanaume ni wenye msimamo
nawapenda uwazi. Si wepesi wa kuburuzwa katika maamuzi ya msingi
kwakisingizio cha wao ni wanawake. Utafiti unaonesha wanawake wa aina
hiiwamekuwa muhimu hasa kwa wanaume wenye tabia za ubabe na udhaifu
katikauelewa wa mambo.
WANAOJITEGEMEA Wanawake
wanaojitegemea wana soko kubwa kwa wanaume tofauti na
akina‘naomba vocha’ kila siku. Uchunguzi unaonesha
kuwa wanaume wa leohawapendi wanawake tegemezi, wasiokuwa na kazi na
wanaoendekeza stareheza upande mmoja.
WASIO
NA PRESHANikisema wanawake wasiokuwa na presha namaanisha
wasiolazimisha vituvitokee haraka haraka. Wao siku zote huacha mambo
yatokee yenyewe nakazi yao kuwa ni kutenda sehemu ya majukumu yao kama
wapenzi
MARIDADI Kundi
lingine la wanawake wanaopendwa na wanaume ni wanaozingatia usafina
kujiremba. Wanaokwenda na wakati katika mavazi na mvuto wa nje
lakini pia ni waelewa wa mazingira, si washamba. Wanapendeza kwa
mwonekano.
WANAORIDHIKA Wanawake
ambao huridhika na hali walizonazo ni kivutio kikubwa kwawanaume. Hili
ni kundi linalohitajika sana katika ulimwengu wa mapenzikwa upande wa
wanaume ambao maisha ya sasa yamekuwa yakiwageuza kutokajuu kwenda chini
au chini juu. Kukubali hali zote bila kubadili tabia ni sifa njema ya
mwanamke
WA
MMOJA Wanawake wanaochagua mara moja na kutosheka na kuwa tayari
kukwepa kilaaina ya vishawishi toka kwa wanaume ambao kimtazamo wana
vitu vya ziadazaidi ya waliowachagua mwanzo, wanahitajika
sana.“Niliye naye ananitosheleza kwa kila kitu sitaki mtu
mwingine.”Kundi la wanawake wa aina hii ni adimu na muhimu
sana
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >