Habari Kali
Loading...

UTATA MKUBWA!! KANUMBA ALIFARIKI KWA KUDONDOKA,HUYU MPENZI MWINGINE WA LULU MICHAEL NAYE KAFARIKI KWA KUANGUKA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
11141247_829399100430296_1991739193983155009_n
Lulu akiwa kwenye pozi..
Lusekelo Samson Mwandenga (Secky) enzi za uhai wake
Lulu Michael akiwa katika pozi
Lulu Michael
Msanii wa filamu machachari na mwenye vituko Elizabeth Michael (Lulu) anadaiwa kupatwa na msiba wa mtu anayesemekana kuwa alikuwa ni mpenzi wake.
Lulu ambaye ni nyota wa filamu ya “Foolish Age” anahusishwa kuwa alikuwa akitoka kimapenzi na kijana huyo mfanyabiashara anayejulikana kwa jina la Seki, chanzo kimoja kilieleza.
kwa mujibu wa chanzo hicho ni kwamba marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Secky) alikuwa na mkewe mchaMungu, inasemekana amefariki kama alivyofariki Steven Kanumba miaka mitatu iliyopita, ambaye naye alidaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mrembo huyo wa bongo movie.
Yapo madai kuwa vifo hivyo vinatokana na ushirikiana.
Kwa sasa Lulu ni mjamzito lakini hajamtaja mwanaume aliyempa ujauzito.
Na jana ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Lulu.


Lemutuz kwenye ukurasa wake wa Instagram aliandika chanzo cha kifo chake kama inavyosomeka hapo juu.

FAMILIA YA MAREHEMU INASEMAJE?
secky 2  Najua kama unafatilia habari zinazoendelea mjini utakua umekutana na taarifa ya kifo cha huyu ndugu yetu inaweza kuwa imekufikia lakini sio kwa usahihi, au chanzo cha kifo kinaweza kuwa kimepotoshwa  na kuzua utata.
Sasa familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Secky) imekanusha taarifa zinazoendelea kusambazwa kupitia voice note na kwenye mitandao kuhusu chanzo cha kifo chake na kwamba alikwenda kwenye birthday, ukweli ni kwamba aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake, akapelekwa hospitali na baadae akafariki akiwa Hospitali, hakuna kingine zaidi ya hapo.
Secky alikuwa rafiki wa watu wote wakiwemo wasanii wengi wa Bongofleva na hata Bongomovie pia ndio maana msiba huu umewagusa kutokana na ukarimu wake kwao akiwemo Wema Sepetu ambaye amesema >>> ‘Ulikua mtu wa watu, sanaaaaa…… najua utaliliwa na wengi…. they say vizuri havidumu, pumzika kwa amani baba…. It’s jus too hard to sink in….‘ Diamond Platnumz ameandika ‘Gone too soon my Brother… i still don’t wanna believe that you are realy Gone….dah si jana tu tumezungumza’
R.I.P Secky.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top