Mahakama ya wilaya ya Tabora
imehukumu Masudi Nassoro mkazi wa kata ya Kiloleni manispaa ya Tabora
(20) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya ulawiti
kwa mwanafunzi wa kike wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka 9.
Akitoa hukumu hiyo hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya ya Tabora
mjini,Bahati Chitepo amesema kwamba ametoa adhabu hiyo ili iwe
fundisho kwa watu wengine wenye nia kama hiyo kwa watoto, na jamii
ijifunze kutoka kwake.
Awali mwendesha mashitaka wakili wa serikali Miradi Kijulu
amesema kuwa mshitakiwa Masoud Nasoro alitenda kosa hilo eneo la kata
ya Kiloleni ambapo muathirika wa tukio hilo alimuomba lifti akiwa
anakwenda shuleni na ndipo mshitakiwa alimpeleka vichakani mtoto huyo
eneo la Kalunde na kumfanyia unyama huo.
Baada ya kutenda kosa hilo mshitakiwa alikimbia hadi alipotiwa
nguvuni na jeshi la polisi na kufikishwa mahakamani.
Hata hivyo
mshitakiwa huyo aliiomba mahakama hiyo impunguzie adhabu kwani anaishi
na babu yake mlemavu wa mguu na wazazi wake wote wamafariki dunia,
maombi ambayo yaliyupiliwa mbali.
Via>>ITV
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >