Habari Kali
Loading...

WEZI WAENDA KUFUKUA KABURI NA KUONDOKA NA JENEZA, NI BAADA YA KUSIKIA MAREHEMU KAZIKWA NA MALI!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Imetokea Kibaha kwenye mkoa wa Pwani Tanzania, ilitangazwa kwamba Marehemu kazikwa na vitu vya thamani ambavyo akiwa hai alisema angependa azikwe navyo, maziko yakafanyika salama akazikwa na sanduku lake.
Baada tu ya kuzikwa kuna mlinzi alipewa kazi ya kulinda kaburi mpaka likauke ambapo baada ya kulinda kwa zile siku walizokubaliana, siku ya kwanza baada ya siku za mlinzi kumalizika Wezi wakaja kulifukua kaburi kama inavyoonekana hapo juu na wakaiba sanduku, wakamvua Marehemu soksi na inasemekana walitaka kumvua na nguo zake pia ikashindikana.
AW1A3741 
Hizi ni picha ambazo nimekusogezea hapa.. ndugu waliamua kulijenga upya baada ya wezi hao kubomoa na kuiba vilivyokuwemo ndani. AW1A3731 
Shuhuda anasema hata hivyo baada ya kaburi kubomolewa na wezi, mtu mmoja ambaye alikua akikata majani maeneo ya karibu na makaburi alisema ameona nguo zilizotawanywa kutoka kwenye sanduku na ikajulikana ndizo alizozikwa nazo Marehemu, zikakusanywa na kuchomwa moto.
AW1A3735
AW1A3736
AW1A3738
AW1A3741Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limethibitisha tukio hilo, linawatafuta waliovunja kaburi hilo na kufanya uhalifu wa kuiba nguo na vitu vingine alivyozikwa navyo.
vlcsnap-2015-04-28-17h50m41s139
vlcsnap-2015-04-28-17h49m47s112
Shuhuda wa tukio hilo

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top