Habari Kali
Loading...

WHATS APP MESSENGER INANIVUNJIA NDOA YANGU...!! USHAURI NIFANYEJE??

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne
sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2
years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake
kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza
kuongea nikawa najifunza kutumia smart
phone ya husb tukiwa kwenye sherehe
nilishawishika kuingia kwenye picha na
whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika
WhatsApp walahi niliumia oho sana
Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada
tofauti tofauti mambo ya mapenzi na
kuombana kutumiana picha ...na mengineyo
sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme
wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada
waliomtumia kwenye WhatsApp
Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya
kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu
ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani
nalea mwanangu wa miaka miwili.
Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha
wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika
kwa sababu ya hizi wasapu..
Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma
sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa
hivi

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top