Chatu akimmeza mbuzi katika Kijiji cha Garkhuta, India.
TUKIO la chatu mwenye urefu wa futi 10 akimmeza mbuzi mzimamzima
limewatia hofu wakazi wa Kijiji cha Garkhuta kilichopo Magharibi mwa
Bengal nchini India.Tukio hilo lilinaswa na Mpigapicha, Roni Choudhury hivi karibuni wakati akitembea jirani na Hifadhi ya Msitu wa Sonakhali nchini India.
Kitendo hicho kiliwafanya wanakijiji waingiwe na hofu huku Ofisa Misitu wa Wilaya, Vidyut Sarkar akisema kuwa: 'Iwapo chatu huyo alimkamata mbuzi, anaweza pia kumuua hata mwanaume au mtoto'.
Tukio hilo lilivuta hisia za watu wengi ambao hawakuonyesha kumuogopa sana chatu huyo aliyekuwa akimmeza mbuzi na badala yake kushuhudia tukio zima. Ilimchukua chatu huyo saa nne kummeza mbuzi huyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >