Mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo tangu juzi imesababisha vifo vya watu watano huku mamia wakikosa makazi baada ya nyumba zao kubomolewa.
Mvua hiyo iliyofikia kipimo cha milimita 132.5 kwa
mujibu wa vipimo vilivyofanywa katika kituo cha Shule ya Msingi ya
Maktaba, ilisababisha barabara kujaa maji na nyingine kuharibika na
madaraja kadhaa kukatika.
Mkurugenzi Mkuu wa Hali ya Hewa, Dk Agnes Kijazi
alisema jana kwamba kipimo hicho cha mvua ni cha juu mno kulinganisha na
kile cha wastani ambacho ni kati ya milimita 16 na 30.
“Kwa takwimu za mwezi Mei, kiwango hiki hakijawahi
kufikiwa kwa miaka 10 iliyopita.” Alipotakiwa kufafanua miezi mingine,
Dk Kijazi alisema hakuwa na takwimu kwa kuwa alikuwa nje ya ofisi.
Awali, Dk Kijazi alitoa taarifa ikisema mifumo ya
hali ya hewa inaonyesha kuwa “hali ya mvua inatarajiwa kuendelea katika
baadhi ya siku hadi Mei 20, mwaka huu”.
“Mamlaka inaendelea kushauri wakazi wa maeneo hatarishi pamoja na watumiaji wa bahari kuchukua tahadhari,” alisema Dk Kijazi.
Watano wafa
Kutokana na mafuriko hayo, watu watano wakiwamo watoto wawili, walipoteza maisha baada ya kusombwa na maji.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick
alisema waliopoteza maisha ni watoto wawili na mzee mmoja ambao majina
yao hayajafahamika.
“Mtoto mmoja (2) alisombwa na mafuriko katika eneo
Machimbo ya Makangarawe na mzee mmoja alifariki jana baada ya mvua
kunyesha na kujaa ndani ya nyumba yake. Mtoto mwingine ambaye bado
hajapatikana alisombwa na mafuriko pia,” alisema Sadick.
Hata hivyo, habari zilizopatikana baadaye zilisema kuwa waliopoteza maisha ni watu watano.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,
Suleiman Kova alimtaja mtu aliyefariki dunia kuwa ni Shabani Idd (73)
mkazi wa Manzese.
Katika eneo la Mbezi Luis, Mto Mbezi ulifurika,
hali iliyosababisha nyumba zilizojengwa kandokando ya daraja hilo
kufunikwa na maji.
Mkazi wa eneo hilo, John David alisema hali
ilikuwa mbaya zaidi jana asubuhi kwani maji yalifurika na kujaa
barabarani na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji.
Alisema wakazi walio karibu na mto huo walichukua tahadhari tangu juzi na kuhama makazi yao.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >