Pole! Msanii wa
sinema za Kibongo, Ummy Mohammed amenusa kifo baada ya kunusurika kwenye
ajali ya Basi la Al-Saeed alilopanda akitokea mkoani Morogoro kwenda
Dar ambapo ameumia mkono wa kushoto.
Msanii wa sinema za Kibongo, Ummy Mohammed akionekana na jeraha lake baada ya kunusurika katika ajali.
Akilisimulia Ijumaa Wikienda mkasa
mzima, Ummy ambaye ni mwigizaji mkongwe aliyeibuka staa kwenye Sinema ya
Mke Mchafu, alisema kuwa basi hilo liligongana na lori maeneo ya Mikese
Morogoro na kupondeka.
Jeraha alilapata msanii wa sinema za kibongo baada ya kunusurika kwenye ajali likionekana kwa karibu.
Ummy alisema kilichosababisha ajali hiyo ni
kutokana na mwendo kasi wa basi hilo ambapo abiria wengi walipata
majeraha akiwemo yeye.
“Kwa jinsi ile ajali ilivyokuwa sikutegemea
kabisa kama ningenusurika kifo, nilikuwa nasali sala ya mwisho,
namshukuru Mungu nimeambulia jeraha la mkono japokuwa ninapata maumivu
makali ya mwili,” alisema Ummy.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >