Habari Kali
Loading...

ROSE NDAUKA, YA KIM, AMBER HAYAENDANI NA WEWE!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MMOJA kati ya waigizaji ninaowafahamu vizuri mwanzo wao, ni Rose Ndauka, binti mwenye umbo zuri na muigizaji mwenye uwezo wa kubadilika kulingana na sehemu anayotakiwa kuigiza.
Nilimfahamu kwa mara ya kwanza miaka nane iliyopita, wakati mmoja wa waigizaji wakongwe nchini, Single Mtambalike ‘Rich’ aliponialika katika uzinduzi wa filamu yake iitwayo Swahiba, uliofanyika katika jengo moja la filamu lililopo mtaa wa Zanaki.
Ilikuwa ni baada ya kuitazama filamu hiyo na baadaye kutambulishwa kwake na Rich, ndipo nilipofanya naye mahojiano kwa mara ya kwanza nyumbani kwao Kigogo jijini Dar es Salaam. Nilishawishika kufanya naye ‘interview’ baada ya kuridhishwa na uwezo wake, kwani ingawa ilikuwa ni kazi yake ya kwanza, lakini aliicheza vizuri, kana kwamba alikuwa ameshazoea mwanga wa kamera!
Hivyo, sishangai leo anapotajwa kama mmoja wa masupastaa wa filamu Bongo. Nimeshatazama kazi zake kadhaa na kuendelea kukiri uwezo wake, ingawa kama waigizaji wengine wengi wa Bongo Movies, wanalo tatizo linalofanana, makosa yao ni yaleyale, ya kutotofautisha mavazi na uhusika wa nafasi wanazocheza, sura kutoendana na kinachozungumzwa na mambo mengine madogomadogo.
Nje ya maisha ya filamu, Rose ni msichana mrembo anayestahili heshima. Heshima kwa maana anastahili kuishi kama msichana mwenye kuhitaji mwenza wa kimapenzi, akitakiwa kuachwa na maisha yake kama warembo wengine wengi wenye heshima wanavyoishi.
Ninawafahamu watu kadhaa waliowahi kutajwa kuwa washirika wake kimapenzi hapo kabla, lakini nilivutiwa zaidi baada ya kumsikia akimtangaza kijana Maliki Bandawe kama mpenzi, mzazi mwenzake na mumewe mtarajiwa. Waliishi katika hali hiyo kwa muda usiopungua miaka mitatu, lakini kama zilivyo ndoa na uhusiano wa mastaa, walifarakana.
Rose alizungumza mambo kadhaa, akitoa sababu za kutengana na mwenzake. Tulilazimika kumwelewa kama watu wazima kwa sababu kilichotokea kati yao ni vitu vya kila siku katika jamii yetu.
Lakini mwendelezo wa maisha yake hivi sasa unatufanya tumtilie shaka juu ya sababu alizotoa wakati ule. Tangu aachane na Maliki, Rose ameonekana katika hafla nyingi akiwa anajirusha na marafiki mbalimbali, huku madai ya ‘kutoka’ na huyu au yule yakitokea kila mara.
Kwa waigizaji wa Kibongo, kuwa na wanaume wawili au watatu kwa wakati mmoja ‘siyo ishu’, lakini kwa binti kama Rose, mwenye muonekano wa kistaarabu haipendezi kusikia katika kipindi kifupi tu tangu aachane na mzazi mwenzake, tayari ameshahusishwa na msanii Shetta, aliyedaiwa kuwa naye hotelini Morogoro na Prodyusa Maneck.
Huenda hawa ni wale ambao kamera za mapaparazi zinawafahamu. Kwa staili za maisha ya mastaa wetu, ambao katika ulaji bata pombe ni kiungo muhimu, haitashangaza kukuta kuna orodha ndefu zaidi ya hii katika muda huo mchache.
Sawa, ni maisha yake binafsi. Lakini siku zote tunaambiwa unapokuwa maarufu, hasa katika eneo la kuelimisha kama uigizaji, unategemewa kuishi kama mfano.

Wapo watu maarufu wengi vicheche kimataifa kama Kim Kardasharn, lakini kwa utamaduni wetu kama Watanzania hatutarajii kuwa na mastaa wa aina ya mke huyo wa Kanye West!

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top