Habari Kali
Loading...

ATIWA MBARONI NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMU ZA MAUAJI..

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Limethibitisa Kutokea Kwa Matukio Matatu yaMauwaji Huku Likiwashikilia Watu Wawili Kwa Tuhuma za Kuhusika na Mauwaji Hayo Likiwemo la Dereva Pikipiki Enock Kihindo Aliyeuwawa Kwa Kunyongwa na Kisha Mwili Wake Kutupwa Porini. 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency Ngonyani Amesema Mnamo Novemba 16 Mwaka Huu Marehemu Enock Kihindo Alikutwa Akiwa Amefariki Huku Mwili Wake Ukiwa Umetupwa Porini Barabara ya Kuelekea Yakobi.

Marehemu Enock Kihindo Aliondoka Katika Kituo Chake cha Kazi Novemba Kumi Mwaka Huu Majira ya Jioni Baada ya Kukodiwa na Mtu Ambaye Alidai Ampeleke Maeneo ya Yakobi na Kwamba Katika Tukio Hilo Jeshi la Polisi Linamshikilia Mtu Mmoja Ambaye Jina Lake Limehifadhiwa Kwa Mahojiano Zaidi.

ACP Ngonyani Amesema Tukio la Tatu Limetokea Katika Kijiji cha Mavala Wilayani Ludewa Ambapo Charles Luoga Mwenye Umri wa Miaka 87 Amefariki Baada ya Kuungua Kwa Ajali ya Moto Huku Taarifa Zikieleza Kuwa Marehemu Alikuwa Anaishi Pekee Yake Shambani Hali Iliyopelekea Kushindwa Kujiokoa Baada ya Ajali Hiyo ya Moto Kutokea.

Kamanda Huyo wa Polisi Mkoa wa Njombe Amesema Jeshi Hilo Linaendelea na Uchunguzi wa Vyanzo Vya Matukio Hayo na Pindi Utakapo Kamilika Wahusika Watafikishwa Mahakamani Kujibu Tuhuma Zinazowakabili Huku ACP Ngonyani Akiwataka Wananchi Kutojichukulia Sheria Mkononi.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top