Habari Kali
Loading...

Watanzania wanne wafikishwa mahakamani kwa kosa la kujiunga na kundi la Al Shabaab...!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

WATU wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab. Washitakiwa hao waliofikishwa mahakamani jana ni Ally Rashid, Shaban Waziri, Faraji Ramadhani na Mussa Mtweve.
Wakili wa Serikali, Peter Maugo alidai mbele ya Hakimu Mkazi Sundi Fimbo, kuwa kati ya Januari 11 mwaka jana na Septemba 16 mwaka huu, eneo la Kibaoni, Dar es Salaam, Rashid alisajili washitakiwa wenzake kuwa wanachama wa kundi hilo.
 
Aliendelea kudai, kuwa katika siku hizo, washitakiwa walikamatwa kwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambalo pia linafanya shughuli zake Kenya na Somalia.
 
Washitakiwa hao hawakutakiwa kujibu mashitaka kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo isipokuwa Mahakama Kuu ya Tanzania.
 
Aidha, upande wa mashitaka ulidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na washitakiwa walirudishwa rumande hadi Desemba 5 kesi hiyo itakapotajwa.
 
Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Kisutu katika hatua ya upelelezi na baadaye itahamishiwa Mahakama Kuu kusikilizwa.
Wanavyosajiliwa Septemba, Shirika la Habari la Uingereza (BBC), lilitoa taarifa fupi ya namna vijana walivyokuwa wakisajiliwa kujiunga na kundi la kigaidi la Al Shabaab katika pwani ya Kenya.
Taarifa hiyo ilitoka baada ya Al Shabaab kukiri kufanya shambulizi la kigaidi katika jengo lenye maduka makubwa la Westgate jijini Nairobi, ambako zaidi ya watu 60 waliuawa na mamia kujeruhiwa.
 
Uchunguzi wa BBC, ulibaini kuwa vijana hao kabla ya kusajiliwa walikuwa wakipitia mafunzo yanayopotosha itikadi za dini katika kuwaandaa kujiunga na kundi la Al Shabaab.
 
Vikao vya kusajili vijana hao ilidaiwa huanza na viongozi wa dini walio tayari kutoa mafunzo hayo, ili watoe hotuba za namna hiyo kwa vijana.
 

Uchunguzi huo umebaini kuwa vijana hao, hufundishwa kujitolea kupigania kile wanachosema ni dini, na baadaye hupelekwa vijijini katika maeneo yanayopakana na fukwe za bahari kujiandaa na safari kwenda Somalia.
-Habari leo

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top