
KWANZA: Kama nilivyosema hapo juu jambo la
kwanza ni kuzingatia muda, si vema kukurupuka na kukimbizana nao na kujinyima
usingizi wakati ratiba ya mtihani ilikuwa inafahamika na muhusika alikuwa na
uwezo wa kujiandaa taratibu kuelekea kwenye siku ya kutahiniwa kwake.
PILI: Jindae
mwenyewe kwa kutafuta na kufanya mitihani iliyopita, huku ukinakili maswali
ambayo watunzi wamekuwa wakiyarudia rudia kila mwaka.
Njia
hii itakuwezesha kujiandaa kwa kuzingatia shabaha na mahitaji halisi ya maswali
yatokayo mara nyingi kwenye mitihani. Hakikisha unapata mitihani ya
nyuma ya ngazi uliyopo isiyopungua kumi au zaidi na uifanye huku ukihakikisha
hakuna swali hata moja ambalo linakushinda.
Pamoja
na ukweli kwamba ubahatishaji wa vitu si njia sahihi sana, lakini umeonekana kuwasaidia
wale ambao ubahatishaji wao huambatana na umakini, hivyo mwanafunzi anatakiwa
kuwa na tabia ya kubahatisha maswali ambayo anadhani mwalimu wake anaweza
kuyatoa kutoka kwenye daftari lake na hivyo kujiandaa.
Ubaharishaji
huu, lazima uambane na kile nilichosema awali, yaani kuwa na
kumbukumbu ya mitihani iliyopita. Wanasema watalaamu kuwa ulimwengu una tabia
ya kurudia matukio, hivyo hata kwenye maswali kuna tabia hii ya kujirudia
rudia.
TATU: Orodhesha maeneo yote ambayo huyaelewi
kwenye mtihani hiyo ya nyuma na uyafanyie mazoezi kwa kupata ushauri kwa
waalimu wako. Kama kuna mada ambazo hujazielewa kwenye daftari lako hakikisha
muda uliojiwekea utatosha kuzielewa.
NNE: Hakikisha unajizoeza kufanya mitihani ya
majaribio mara kwa mara, ambayo utaifanya kwa kuzingatia muda na
masharti yote ambayo hutolewa siku ya kufanya mtihani halisi. Haifai mwanafunzi
kukimbia majaribio yanayotolewa darasani na mwalimu wake, kwani hayo ndiyo
yatamuwezesha kufahamu kama amekamilika kwa kutahiniwa au bado kuna eneo
linamtatiza.
TANO: Hakikisha kuwa kumbukumbu zako
kichwani zinaongezeka kadiri unavyojifunza, usiwe mtu wa kusahau sahau
uliyojifunza na ikiwezekana eneo ambalo unaonekana kulisahau ndilo ulipe
kipaumbele cha kujikumbusha, ikibidi hata kila siku.
SITA: Angalia kwa makini alama zako za mitihani
ya majaribio, ikiwa unapata alama za chini ujue kuna mahali panahitaji nguvu za
ziada, shauriana na mwalimu wako maeneo yote unayokosa au yanayokusumbua kabla
ya siku ya mtihani.
SABA: Ili mwanafunzi awe na uhakika wa kufanya
vema mtihani wake anatakiwa kuzingatia dondoo zote zilizotolewa kwenye
kipengele cha kuimarisha kumbukumbu kichwani, ambazo zimo ndani ya kitabu hiki.
NANE: Wakati mwingine ni vema
ukausikiliza mwili, si vema kuulazimisha kusoma hata kama unaona kuna udhaifu,
baadhi ya wanafunzi hukesha wiki mbili mfululizo wakisoma, matokeo yake mwili
na akili huchoka na kushindwa kupokea masomo vizuri. Muda wa kupumzika unahitajika.
TISA: Kabla mwanafunzi hajaingia katika chumba
cha mtihani anatakiwa kujiamini kwa kushinda hofu. Eneo hili ni muhimu sana
kwani kuna wanafunzi hufeli si kwa sababu hawakujiandaa, bali hukumbwa na hofu
muda mfupi kabla ya kuanza mtihani. Hivyo ni muhimu mwanafunzi akaandaliwa
kisaikolojia na waalimu pamoja na wazazi wake jinsi atakavyoweza kufanya
mtihani bila hofu.
KUMI: Imani ni hitimisho la mafanikio ya
mwanafunzi, haifai kuingia katika chumba cha mtihani ukiwa na mawazo hasi.
Kinachotakiwa ni ari ya ushindi au kwa lugha nyingine ni mawazo chanya. “LAZIMA
NIFAULU MTIHANI HUU” Imani hii inaweza kujengwa na mtu kupitia kujiamini
mwenyewe au kuamini kwa msaada wa nguvu za imani yake ya dini.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >