Dully amedai kuwa Alikiba na Diamond wanatakiwa wafanye kazi waweke tofauti zao pembeni na waingize hela. “Hivi we unadhani itoke nyimbo ya Alikiba na Diamond si itakuwa hatari sana! Maana hiyo ngoma itakuwa gumzo na pia wata watawafurahisha mashabiki wao. Huo ndo ushauri kwa wadogo zangu,” amesema Dully.
Katika hatua nyingine Dully ameiambia Bongo5 sababu za kutofanya vizuri kwa nyimbo zake za sasa. “Unajua nyimbo yangu kama ile ya “Joka” haikufanya vizuri kwakuwa watu walihisi kama nimemdiss mtu ndo maana haikufanya vizuri. Kwa wimbo wa “Binti Spesho” nao ulishindwa kufanya vizuri hasa ilivyofungiwa video yake lakini sasa wimbo wa ,’Togola’ unafanya vizuri nadhani pia umetoka kipindi kizuri na pia video yake ipo tayari inatoka muda wowote kuanzia sasa.
Kuhusu kazi yake kama mtayarishaji wa muziki, Dully amedai kuwa anazidi kuifurahia.
“Tokea nimekuwa producer naenjoy sana maana napenda sana kazi ya kuwa producer sasa hivi kuliko hata kuimba. Na pia sasa nimeshafanya kazi kadhaa za wasanii wakubwa zinakuja kama ya Chidi Benz vile imeshatoka na kuna zingine zinakuja. Unajua sasa hivi studio yangu ina vyombo vipya vya kisasa na pia ntakuwa narekodi live yaani napiga vyombo vyote.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >