Habari Kali
Loading...

VIDEO Inatisha: Kundi la ISIS lamkata kichwa Mwandishi Mwingine wa Marekani, latishia kumkata mwingine raia wa Uingereza kulipa kisasi ( Video Inatisha)

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Iraq na Syria (ISIS) limetekeleza mauji mengine ya kutisha kwa kumkata kichwa mwandishi mwingine wa habari wa Marekani. 

Mwandishi huyo aliyetajwa kwa jina la Steven Sotloff mwenye umri wa miaka 31 alitekwa na wapiganaji hao mwezi August mwaka jana.Mwezi uliopita Sotloff alionekana mwishoni katika picha za video zilizoonyeshwa kuhusiana na kuchinjwa kwa mwandishi mwingine wa Marekani James Foley.

Katika video hiyo iliyopachikwa hapo chini, mwandishi huyu anaonekana kuuawa na mtu anayemruhusu kutoa semi yake ya mwisho.

Sotloff ambaye katika video hiyo amevalia magwanda ya rangi ya chungwa akiwa amepiga magoti anasikika akisema kuwa:

'Obama, your foreign policy of intervention in Iraq was supposed to be for preservation of American lives and interests, so why is it that I am paying the price of your interference with my life?.''

Mpiganaji mmoja wa kundi hilo akizungumza kwa kiingereza anamlaumu Rais Obama kwa kifo cha mwandishi habari huyo.

“I’m back, Obama, and I’m back because of your arrogant foreign policy towards the Islamic State..

“As your missiles continue to strike our people, our knife will continue to strike necks of your people,” anasikika akisema kabla ya kutekeleza kitendo hicho cha kikatali.

Muuaji huyu anasadikika kuwa ni yule yule aliyemchinja mwandishi wa kwanza mwezi uliopita.

Punde baada ya kukamilisha hotuba yake,muuaji huyo anaanza kumchinja Sotloff lakini video hiyo inazimwa .

Sekunde chache baadaye mateka mwingine raia wa Uingereza David Cawthorne Haines, anaonekana kabla ya ilani kutolewa kuwa hatima yake iko mikononi mwa taifa la Marekani.

Tazama Video hapo chini( Video inatisha) .Video hii imeanza na hotuba fupi ya Rais Obama . Baada ya hotuba hiyo, Mwandishi huyo anawekwa mbele ya kamera na kuuawa kikatili.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top