MKAZI
mmoja wa kijiji cha Malolwa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Ndikile
Sunguli (38) amejichoma ndani ya nyumba hadi kufa baada ya kumjeruhi mke
wake katika ugomvi unaoaminika ni wa mapenzi.
Tukio hilo la kutisha lilitokea Septemba 29, 2014 majira ya saa tano usiku katika kijiji cha Mlolwa.
Imeelezwa
kuwa Sunguli alirudi kutoka matembezini akiwa amelewa huku akipiga
makelele, alipofika nyumbani kwake alianza malumbano na mke wake huku
kila mmoja akimtuhumu mwenzake kufanya mapenzi nje ya ndoa.
Kamanda
wa polisi mkoani Rukwa Jacob Mwaluanda alisema kuwa wakati ugomvi
ukiendelea Sunguli alichukua kisu na kumchoma mkewe wake ubavuni na
kumjeruhi.
Kamanda
alisema kuwa katika harakati za kujiokoa mama huyo alianguka nje ya
nyumba yao na kuzirai, hali inayodhaniwa ilisababisha mume kudhani ameua
na kujifungia ndani na kuwasha moto akiwa ndani.
Alisema
kutokana na nyumba hiyo kuezekwa kwa nyasi ilishika moto kwa kasi na
juhudi za majirani kumuokoa ziligonga mwamba kutokana na kujifungia.
Kamanda Mwaluvanda alisema hali ya majeruhi inaendelea vizuri kwani alikimbizwa kituo cha afya Mpui baada ya tukio hilo.
-Mpekuzi
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >