KESI
ya kutumia lugha ya matusi na kutotii amri ya askari wa usalama
barabarani, inayowakabili watangazaji wawili, Ephrahim Kibonde wa Kituo
cha Habari cha Clouds Media Group na Gadner Habash wa Times Fm,
imeahirishwa hadi Novemba 5 na 12 mwaka huu itakapoanza kusikilizwa.
Watangazaji
hao waliiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kuahirisha kesi hiyo
kutokana na wakili wao kupata dharura na waliomba tarehe nyingine ya
kusikiliza shauri hilo.
Hakimu
Anicetha Wambura alikubaliana na ombi hilo licha ya kuwepo kwa shahidi
na kusema kwamba shauri hilo litaanza kusikilizwa Novemba 5 na 12 mwaka
huu.
Awali,
Wakili wa Serikali Ramadhan Mkimbu aliwasomea mashitaka yao na kudai
kwamba Agosti 9 mwaka huu, eneo la Oysterbay jirani na kituo cha Polisi
washitakiwa walitumia lugha ya matusi na kusababisha uvunjifu wa amani.
Pia
Kibonde alidaiwa kukataa kutii amri ya halali ya askari E44190 Koplo
Sweetbert aliyemtaka arudishe gari lake lenye namba T 459 CPL aina ya
Toyota Brevis kwenye eneo alilosababisha ajali, badala yake alikimbia na
kukamatwa.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >