Siku washiriki wa BBA Hotshots wanatambulishwa, mwakilishi wa Tanzania, Idris Sultan alimwambia mtangazaji IK kuwa cheche zake zipo kwenye masuala ya wanawake. Huenda sasa shughuli imeanza.
Baada
ya binti mrembo wa Botswana( Goitse) kumzingua mshikaji ( Idris )
aliyekuwa ametupa jiwe kumtaka awe mpenzi wake, hatimaye Idris
jana alimnasa binti huyo na kula naye dinner pamoja...
Ni kama ndoto vile!!....Dinner hiyo iliandaliwa na kufanikishwa na washikaji zake wa karibu Nhlanhla na JJ ambao
walisaidia kupika chakula hicho kuhakikisha kuwa wawili hao wanakuwa na mtoko utakaowafurahisha.
Wakati wote wa dinner, Ellah, Sabina, M’am Bea na Luis walishiriki
sehemu yao ya kuwahudumia chakula. Idris alimuuliza Goitse maswali
kutaka kumfahamu zaidi na kumuuliza kama anaamini katika uhusiano wa
mbali, long-distance relationships. Goitse, hata hivyo alionesha kuvutiwa zaidi na urafiki tu kuliko mapenzi.
Matukio yote ya Big Brother yako hewani kupitia site yako pendwa ya www.bigbrotherafricans.com
Usikubali kupitwa na tukio lolote....Video zote, picha za washiriki na live updates mbalimbali zinaruka masaa 24 kwa siku zote 63 za shindano hili.
Unataka kushuhudia kila kitu?? << BOFYA HAPA>>
Ingia hapo juu kwa matukio ya moja kwa moja toka ndani ya jumba la big brother africa.
Usikubali kupitwa na tukio lolote....Video zote, picha za washiriki na live updates mbalimbali zinaruka masaa 24 kwa siku zote 63 za shindano hili.
Unataka kushuhudia kila kitu?? << BOFYA HAPA>>
Ingia hapo juu kwa matukio ya moja kwa moja toka ndani ya jumba la big brother africa.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >