



MFANYABIASHARA mmoja wa mifugo (ng’ombe) na dereva waliokuwa katika lori lililokuwa limebeba mifugo hiyo, leo wamenusurika katika ajali iliyotokea asubuhi eneo la Ubungo-Mataa, jijini Dar es Salaam.
Gari hilo lililokuwa limebeba ng’ombe wapatao thelathini likitokea Wilayani Kondoa, Dodoma, limepata ajali na ng’ombe kadhaa kuumia sehemu mbalimbali za miili .
Wakizungumza na mtandao huu, mashuhuda wamesema tukio hilo lilifuatia mwendesha pikipiki (bodaboda) kukatiza kwa kasi mbele ya gari hilo na dereva alipoamua kuwakwepa, gari lilianguka.
Aidha mfanyabiashara wa mifugo hiyo, Abdalah Juma, amelipongeza jeshi la polisi na askari kwa ulinzi walioufanya hapo kwani hakuna kitu kilichopotea.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >