Muuguzi wa hospitali hiyo, Bahati Kuguru, alisema hospitali hiyo ni miongoni mwa zile zinazofanya kazi katika mazingira magumu hasa ya kutokuwa na wodi maalum za kulaza wagonjwa hali inayohatarisha usalama wa wagonjwa na wauguzi.
“Serikali iangalie namna ya kunusuru hali hii haraka iwezekanavyo kwa sababu wagonjwa wenye matatizo ya akili kitabibu wanahitaji kulazwa wodi maalum peke yao, vinginevyo wanaweza kuleta madhara kwa wagonjwa wengine na wauguzi pia,” alisema Kuguru.
Pia alisema chumba cha kuhifadhia wagonjwa cha hospitali hiyo ni kidogo na hakina majokofu jambo linalosababisha ndugu kulazimishwa kuchukua miili ya ndugu zao muda mfupi baada ya kufariki dunia.
Aliongeza kuwa ingawa serikali inazitambua changamoto zilizoko, bado haijashirikiana na hospitali hiyo katika kuboresha mazingira halisi badala yake miundombinu yake inazidi kuchakaa.
“Tunaomba serikali ichukue maamuzi magumu katika kutatua suala hili, kwanza itupatie gari ya usafiri itakayotumika kutoa huduma ndani na nje ya hospitali pale inapobidi pamoja na kujenga majengo yatakayojitegemea kutokana na tatizo la wagonjwa,” alisema Kaguru.
Mgonjwa wa matatizo ya akili aliyelazwa katika wodi ya wananwake katika hospitali hiyo, Roida Mwangaya, alisema serikali iboreshe hospitali hiyo kwa sababu ni kitovu cha wakazi wa ndani na nje ya eneo hilo.
“Ipatikane wodi maalumu za kulaza wanawake, watoto, wanaume pamoja na kitengo maalum cha kuwalaza na kuwalea wagonjwa wa matatizo ya akili,” alisema Mwangaya.
CHANZO: NIPASHE
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >