Kila mmoja amekua na hofu akisikia au
kukutana na mtu alietoka kwenye nchi zenye zilizoathirika kwa ugonjwa wa
Ebola barani Afrika na ndio maana ubaguzi umeripotiwa katika nchi
mbalimbali za Amerika, Ulaya na hata Afrika.
Ripoti mpya inasema Mwanamke mmoja wa
Kenya amefia kwenye uwanja wa ndege Jomo Kenyatta Nairobi kwa tetesi
kwamba alikua anaumwa Ebola au Marbug ambapo familia yake imeilaumu
Serikali kwa kifo cha ndugu yao kwa kutelekezwa na wauguzi kwenye Clinic
ya uwanja wa ndege waliokua na hofu ya kuambukizwa ugonjwa wa Ebola.
NTV Kenya wameripoti kwamba Marehemu
ambae alikua mfanyabiashara aliondoka nchini Kenya na kuelekea Juba
Sudan ambapo alipitia Uganda wakati mlipuko wa Marbug ulipotokea na
alipowasili Juba alikua anavuja damu kwenye sehemu ya uzazi jambo
lililofanya dada yake amrudishe Nairobi kwa ajili ya matibabu.
Baada ya ndege kutua tu Familia yake
inasema hakuhudumiwa ipasavyo ambapo kwa muda wa dakika 120 Mama yake
mzazi na rafiki yake walibaki kutazama tu hali yake ikiendelea kudorora
na alikua akilalamika anaumwa kichwa na amemiss mtoto wake wa kiume.
Mama Wanjiku pamoja na rafiki yake
pamoja na Marehemu waliwekwa kwenye chumba kimoja kwa zaidi ya saa tano
kabla ya kuruhusiwa kuondoka ambapo Wanjiku alifariki dunia akiwa kwenye
kiti cha magurudumu.
Mama mzazi na rafiki yake waliruhusiwa
kuondoka kabla ya matokeo ya uchunguzi wa matibabu kutolewa, kama
Marehemu alikua akiugua Ebola au Marbug basi kuachiliwa kwao
kungepelekea kusambaa kwa ugonjwa huo kwa haraka….
CHANZO: Udakuspecially
CHANZO: Udakuspecially
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >