Shukurani Kando (34) ambaye ni mvuvi na mkazi kitongoji cha Kalumo kijiji cha Nambubi, Kata ya Kisorya amejeruhiwa kwa kung’atwa na kiboko na wengine wawili kunusurika wakati wakivua katika Ziwa Victoria wilayani Bunda, Mkoa wa Mara.
Kwa
mujibu wa diwani wa kata hiyo, Misana Jigwila tukio hilo ni la juzi saa
1:00 asubuhi ambapo alisema kiboko huyo alitokea ghafla wakati wavuvi
hao wakiendelea na uvuvi. Alisema walionusurika waliogelea hadi nchi
kavu.
“Walikuwa
watatu, sasa wakati wakiendelea kuvua ghafla kiboko huyo alitokea na
kuanza kuwashambulia na kumjeruhi huyo mmoja, wengine wawili
walinusurika baada ya kuogelea hadi nchi kavu,” alisema.
Alisema
majeruhi alipelekwa hospitali ya wilaya ya Nansio kutokana na
kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake na hali yake si nzuri.
-via: mpekuzi
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >