MSANII wa filamu Bongo, Wastara Juma amemuumbua msanii mwenzake Deogratius Shija baada ya kutoa taarifa zinazoonekana ni za uongo.
Awali Wastara ambaye hivi karibuni alinyakua tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa mwaka kwenye tuzo za Action and Cuts, alimshukuru Mzee Majuto kwamba ndiye aliyemtoa kisanaa jambo ambalo limemhuzunisha Shija na kusema anashangaa kwa kuwa yeye ndiye aliyemtoa.
Kufuatia maelezo hayo, Wastara amesema, taarifa aliyoitoa Shija ni ya uongo kwani filamu ya kwanza kabisa alicheza na Mzee Majuto ndiyo maana alimshukuru, ya pili alicheza na Frank Mwikongi na ya tatu ndiyo ya Shija.
“Nimemshukuru Mzee Majuto kwa kuwa ndiye wa kwanza kunitoa, huyo Shija nimecheza naye filamu ya tatu, sasa anacholaumu nini? Mimi huwa sipendi lawama za kijinga,” alisema Wastara.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >