Video hiyo inaonesha utamaduni wa mswahili wa pwani ambaye amerithi mambo mengi kutoka kwa waarabu.
Hivi
ni vitu ambavyo Afrika na dunia nzima imevisoma kwenye historia ya
ukoloni. Kupitia video na wimbo wake, Diamond amewapa mashabiki wa
muziki wa Nigeria, Ghana, Afrika Kusini na nchini zingine nje ya Afrika
Mashariki, picha halisi ya maisha ya mswahili.
Taarab
na mduara ni nyimbo zenye asili ya Tanzania na hivyo wimbo kama ‘Nasema
Nawe’ inawakilisha kile tunachoweza kusema kwa kujigamba kuwa ni muziki
wa Tanzania. Kitendo cha kumuongeza Khadija Kopa, malkia wa mipasho
nchini, kimeuongezea thamani kubwa sana wimbo huo.
Nisisahau kusema kuwa Khadija Kopa na Hanscana wamewekwa kwenye sehemu ambayo sasa jicho la Afrika linawaona.
Hivi
ni vitu vigeni kwa nchini kama Nigeria na Ghana. Hivi ni vitu ambavyo
wasanii wao hawawapi kwasababu sio utamaduni wao. Ndio maana pamoja na
kutoelewa Kiswahili, bado wamevutiwa na video na wimbo huo kwasababu
wanasikia ladha mpya na kuona picha za tofauti.
“I
dont understand a single word,but Diamond is honestly as his name says.
Loyal fan from Namibia. #teamdiamond,” ameandika Rauha Vroutjie.
Jana
jina la Diamond lilifanikiwa kushika namba moja kwenye trend topics za
kwenye mtandao wa Twitter masaa machache tu baada ya kuachia video hiyo.
Kwa msanii wa Tanzania kutrend Lagos, Nigeria si kitu cha kawaida, ni
kikubwa.
Diamond
amevuka hatua ya kuwa msanii maarufu Tanzania peke yake na kuwa msanii
maarufu Afrika. Akishuka Luanda, Angola ama Gaborone, Botswana, hakuna
shaka wengi watakuwa wanaifahamu sura yake.
Sehemu
alipofikia ana uwezo wa kufanya wimbo wowote na Afrika ikamuelewa.
Kutengeneza wimbo wenye vionjo vya Tanzania ni uamuzi mzuri zaidi
alioufanya.
Kwahiyo
msisitizo ninaopenda kuutoa hapa ni kwamba hatuwezi kuwashtua
wanaijeria ambao kwa sasa ndio wameushikilia muziki wa Afrika, kama
tukiiga muziki wao na kuwapa ladha ile ile wanayopewa na wasanii wao.
Hawawezi kushtuka!
Hebu
fikiria mfano huu. Kama wewe ni mkazi wa Bukoba na ukaja kumsalimia
ndugu yako wa Dar es Salaam halafu chakula pekee atakachokupa kikawa ni
ndizi, utajisikiaje? Umeziacha ndizi pomoni Bukoba halafu unakuja Dar
unapikiwa ndizi tena? Tafakari.
Kwahiyo
wasanii wanaopata bahati ya kuwashirikisha wasanii wakubwa wa Nigeria
au Afrika Kusini, ili collabo zao zionekane za maana wanatakiwa
kutengeneza nyimbo zenye ladha ya Tanzania ili kuwapa wapenzi wa muziki
huo muziki tofauti.
Kwa
wasanii ambao wamepata bahati ya kuwa na majina makubwa, kama wanataka
kuchukuliwa serious, wahakikishe kama hawatengenezi nyimbo zenye mahadhi
ya dunia (universal genres) ambazo ni pamoja na Hip Hop, R&B ama
Pop, basi watengeneze nyimbo zenye ladha halisi ya Tanzania, yaani Bongo
Flava.
Mtanzania akifanya Kwaito au muziki wa Naija nahisi kama hatofika popote.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >