Wakati Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akijisalimisha kwa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemtaka alipoti ofisini kwake kesho kutwa kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kumkashifu kiongozi mwenzake wa dini.
Makonda
amemwandikia barua Askofu Gwajima akimtaka kufikia ofisini kwake kutoa
ufafanuzi juu ya maneno makali dhidi ya kiongozi huyo wa Kanisa
Katoliki.
Katika barua yake, Makonda alisema ofisi yake inataka kufahamu kama uhuru wa kuabudu kikatiba ni kutokuheshimu watu wengine.
“Hatuamini
kama imefika wakati kwenye nyumba za ibada kumegeuka sehemu ya kutukana
na kuwasema watu badala ya kuhubiri habari njema. Tunataka
kujidhihirisha malengo hasa ya kutumia maneno hayo ni nini.”
Gwajima alipoteza fahamu jana alipokuwa akihojiwa na Polisi kwa tuhuma za kumkashfu Kardinali Pengo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >