Mkazi mmoja wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani amekamatwa na polisi akituhumiwa kuwabaka watoto wake wawili wadogo kwa zaidi ya miaka miwili sasa.
Habari
zilizotufikia, zilisema kuwa katika tukio hilo ambalo limethibitishwa
na polisi na watoto wenyewe, baba huyo alianza kuwafanyia binti zake
vitendo hivyo mwaka 2013 kwa siku ambazo mkewe ambaye nimama wa
wasichana hao hakuwapo hadi usiku wa Machi 19, mwaka huu. Kwa sasa
tunayahifadhi majina ya familia hiyo.
Watoto
hao mmoja mwenye umri wa miaka 15 anayesoma darasa la saba na mdogo
wake mwenye umri wa miaka 11 aliyeanza kubakwa akiwa darasa la tatu.
Kwa
mujibu wa watoto hao, baba huyo alikuwa anamuita mmoja wa watoto wake
chumbani kwake na kumtaka alale na mdogo wao wa kiume wakati huo akiwa
na mwaka mmoja na binti akipitiwa na usingizi humvua nguo za ndani na
kumwingilia huku akimtaka kukaa kimya na kuvumilia maumivu.
Mke
wa mtuhumiwa huyo, ambaye amekuwa akizimia mara kwa mara kutokana na
kulia baada ya kubaini mchezo huo, alisema aligundua watoto wake
wanabakwa Ijumaa iliyopita baada ya mmoja wa mabinti zake hao kumweleza
kuwa baba yake alikuwa amembaka Machi 19, mwaka huu.
Alisema
kabla ya binti huyo kumweleza hivyo, alimwomba asimpige kwani kuna kitu
anataka amweleze, japo ni kibaya lakini yeye amechoshwa na kimekuwa
kikimuumiza kichwa.
“Alisema
kila ninapokwenda katika biashara zangu, anatamani nisiwe ninawaacha
hapo, nikamwahidi sitamfanya kitu ili mradi aseme ukweli tu,” alisema mama huyo.
Baada
ya kuhakikishiwa kulindwa, ndipo binti huyo aliposimulia jinsi ambavyo
baba yake amekuwa akiwafanyia na kuwatishia wakipiga kelele atawaua.
“Niliposikia
mwili ulisisimka na ghafla binti yangu mwingine naye akatokea akilia na
kuniambia, ‘hata mimi baba ananifanyiaga hivyohivyo kila siku unapokuwa
umepeleka mboga sokoni Kariakoo,”alisema mama huyo.
Mwanamke
huyo ameomba sheria ichukue nafasi yake katika tukio hilo kwa kuwa ni
la kinyama na pia wataalamu wa saikolojia wamsaidie binti yake mdogo wa
darasa la tano kwani yeye ameathirika zaidi.
Daktari aliyewapima watoto hao, ameshauri binti huyo mdogo apate ushauri zaidi ili kurudisha akili yake katika hali ya kawaida.
Simulizi za watoto
Wakizungumza
nyumbani kwao jana watoto hao, walisema baba yao alikuwa akiwatishia
kuwakatakata kwa panga au kuwakaba koo humohumo chumbani endapo
wangethubutu kumweleza mtu yeyote kitendo wanachokifanya.
“Tulikuwa
tumeingia kwetu kulala na wadogo zangu, nikasikia ananiita
nikambembeleze mtoto eti anamsumbua, nilikwenda nikambembeleza akalala,
wakati nashuka kitandani kurudi chumbani kwetu baba akanivuta kwake
akanivua, akasema anachokifanya ni suna kwa hiyo hataki kelele, akisikia
atanikaba nife.”
“Niliumia
sana na asubuhi mama alirudi nikajitahidi kweli asijue na hata shule
sikwenda, jioni mama aliondoka tena baba hakuniita siku hiyo lakini
baada ya siku tatu aliniita tena ikawa vilevile navumilia. Siku
zilivyozidi unaweza kukuta kwa wiki naitwa hata mara nne siku ambazo
mama hayupo nyumbani,” alisema.
Watoto
hao walieleza kuwa baadaye baba huyo alihamia kwa binti mdogo kwa
staili ileile na kila mmoja alikuwa akiitwa kwa zamu na kwa vile kila
mmoja alijua ni siri yake na baba.
Kutonaka na woga wa kuuawa, hakuna aliyemweleza mwenzake hadi katikati ya mwaka jana mmoja wao alipomweleza mwenzake na baadaye kumweleza mama yao.
Kutonaka na woga wa kuuawa, hakuna aliyemweleza mwenzake hadi katikati ya mwaka jana mmoja wao alipomweleza mwenzake na baadaye kumweleza mama yao.
“Baba
alikuwa anasema atatuua bila hata mtu kujua na tutaozea shambani, hata
nikiwa katika siku zangu baba ananiingilia hivyohivyo, naugua kila mara
UTI, mdogo wangu naye kila mara UTI, tukaamua liwalo na liwe kama kufa
basi ila mama ajue,” alisema mtoto huyo huku akibubujikwa na machozi.
Mwenyekiti
wa Serikali ya Mtaa wa Miembe Saba, Hamis Shomari alisema kabla ya
kupelekwa kituo cha polisi Kongowe Jumamosi iliyopita, watoto hao
waliitwa shuleni hapo na kuhojiwa kila mmoja peke yake na wote walikiri
kuanza kubakwa mwaka 2013 na baba yao na kwamba tabia hiyo iliendelea
hadi Machi 19 usiku alipobakwa binti mdogo kwa mara ya mwisho na Machi
20 walipoamua kumweleza mama yao.
Kamanda
wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alisema wanamshikilia mtuhumiwa
huyo na kwamba wasichana hao wamefanyiwa vipimo mbalimbali na majibu ya
daktari yamethibitisha kuwa wamebakwa na sehemu zao za siri
zimeharibiwa, hivyo wanaendelea na matibabu.
Credit: Mwananchi
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >