Mwili wa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Marwa Omtima ukizikwa.
IGENGA MTATIRO, TARIMEMKAZI wa Kitongoji cha Nyaiheta, Kijiji cha Kewanja Kata ya Kemambo wilayani Tarime, Mara, Marwa Omtima (55) ambaye ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameuawa kwa kupigwa mshale tumboni na mtu aliyetajwa kwa jina la Gamaina, mkazi wa kitongoji hicho kulipotokea ugomvi usiku wa Machi 5, mwaka huu.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema siku ya tukio, marehemu alipigwa mshale majira ya usiku na kufariki dunia.
Mwili wa Marwa ukiagwa.
Jeshi hilo lilisema linaendelea kumsaka mtu aliyefanya mauaji hayo
ili kumkamata na kumfikisha mahakamani kujibu tuhuma zake za kuua huku
chanzo kilidaiwa ni ugomvi binafsi uliotokana na chuki za siku
zilizopita.Ilielezwa kuwa, marehemu alifariki dunia akiwa anapatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kuvuja damu nyingi.Katika mazishi yaliyofanyika Machi 7, mwaka huu, msemaji wa familia hiyo ambaye ni kaka wa marehemu Omtima, Masanda Omtima, aliwaambia waombolezaji kuwa, familia haitakuwa na kisasi na familia ya mtuhumiwa.
Aliwaomba wanafamilia wa pande zote kuendelea kutembeleana kama zamani huku akisema ni dhambi kuua mtu kwani aliye na mamlaka ya kuondoa uhai wa binadamu ni Mungu.Kutokana na tukio hilo, Mkuu wa Kituo cha Polisi Nyamwaga aliyehudhuria mazishi hayo, OCD Simon Marwa Maigwa alisema atahakikisha muuaji huyo anasakwa mahali popote alipokimbilia na kutiwa nguvuni.
Miongoni mwa waombelezaji wa msiba huo walioshindwa kutoa ujumbe wao kwa simanzi ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Esther Nicholas Matiko aliyesema tukio hilo limetia aibu na kuichafua Mara.
Matiko alisema imefikia wakati jamii kubadilika kwa kutumia njia za kisheria badala ya kujichukulia sheria mikononi na kusababisha marehemu kuacha familia iliyomtegemea ikitaabika.Kwa upande wake, Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara, Chacha Heche aliwaomba viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wale wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutumia muda wao kuelimisha jamii kuacha kuchukua sheria mikononi.
Mazishi hayo yaliyovuta hisia za watu wengi kutoka vyama vya siasa na viongozi wake, jamii na askari polisi kwani aliyeuawa kaka yake ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Kewanja Tanzania, Omtima (Chadema).
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >