
Kumekuwa na story ambayo imeenea sana
mitandao ya kijamii na pia watu wamekuwa wakitumiana PICHA Whatsapp na
wengine wameweka pia kwenye kurasa za Instagram na kuandika #RIP picha
ya mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Joseph Shamba aka Vengu ambaye ni muda mrefu hatujamuona akiigiza pamoja na kundi lake kutokana na kuumwa.
Taarifa ambayo Clouds FM imeipata baada ya kuwasiliana na Seki pamoja na Joti ni kwamba hakuna ukweli wowote kuhusu taarifa za msanii huyo kufariki.
“Kuna taarifa zilizosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa muigizaji wa vichekesho #Vengu kafariki dunia.. Kwa mujibu wa Meneja wake #Seki na muigizaji mwenzake #Joti wamekanusha taarifa hizo na kusema yuko hai..“–@cloudsfmtz
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >