Habari Kali
Loading...

Waganga wa Kienyeji 32 watiwa mbaroni GEITA kwa kusababisha mauaji ya Albino

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Waganga wa kienyeji wanadaiwa kuchochea mauaji ya albino nchini Tanzania Waganga 32 wakiwa na vifaa vya kupigia ramli chonganishi inayochochea mauaji ya vikongwe na walemavu wa ngozi wamekamatwa katika operesheni iliyofanyika jana na juzi mkoani Geita.
Waganga hao pamoja na wengine walitiwa mbaroni baada ya kuwekewa mtego na makachero wa polisi waliojifanya wachimba madini.

 Baadhi ya zana zilizokamatwa katika msako huo ni pamoja mnyama aina ya Kakakuona, ngozi za wanyama kama Chui, Fisi, nyoka waliokaushwa na sarafu zinazotumika kupima ubora wa viungo vya albino ambavyo ndani yake hupachikwa sumaku ndogo ili kuwarubuni wateja.



Taarifa zinasema kuwa mkoa wa Geita unakadiriwa kuwa waganga 3,000 huku wilaya ya Geita pekee ikikadiriwa kuwa na waganga 900.
Hatua hiyo inatokana na Jaji aliyetoa hukumu jana aliyehoji kutofikishwa mahakamani waganga wa kienyeji na wanunuzi wa viungo. Pia, msako huo ni utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top