Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo
amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa dansi ndiye mwanaume wa pekee
ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana.
Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa.

“Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili,” amesema.
“Tulizinguana tukafika pointi tukasaidiana, ameoa nikamtolea mchango, nimeenda kwenye harusi yake sioni tatizo.”
“Mimi na Chaz Baba tulikuwa tunapendana na baada ya kufikia point ya
kuachana tukaachana, tukawa hatuongei for sometime mwisho wa siku baada
ya kila mmoja kukaa kwake tukawa tunazungumza. Sio kama watu wengine
tukigombanaga tunatafuta mabifu, hatusemeshani,” ameongeza mrembo huyo
aliyesisitiza kuwa ‘sina bwana’.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >