Mchakato
 wa kumpata mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye 
atabeba jukumu la kupeperusha bendera ya chama hicho ili kukipa ushindi 
katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, sasa tunahesabu siku.
Baadhi
 ya makada wa chama hicho wakiwemo wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri 
Kuu ya Taifa (NEC), wanasema mchakato huo huenda ukaanza Mei mwaka huu.
Akizungumza
 na Mwandishi wetu, Mjumbe wa NEC kutoka mkoani Arusha ambaye hakutaka 
jina lake liandikwe, alisema katika uchaguzi wa mwaka huu, CCM 
kitaandika historia ya kumteua mgombea urais mwenye vigezo vyote.
Alisema
 mgombea huyo ni yule ambaye atakidhi vigezo 13 ili aweze kukivusha 
chama hicho kiendelee kushika dola si kuteua mgombea anayetokana na 
shinikizo la makundi ya watu mbalimbali kama ilivyoanza kujionesha kwa 
baadhi ya wagombea wenye dhamira ya kuwania nafasi hiyo.
Mjumbe
 huyo alikwenda mbali zaidi na kusisitiza kuwa, chama hicho kina 
utaratibu mzuri wa kuchagua wagombea wake kwenye nafasi ya urais, ubunge
 na madiwani ambao ndio utazingatiwa katika kuwapata wagombea si 
vinginevyo.
"Chama
 kikichagua mgombea kwa sababu ya ushabiki na kelele za makundi ya watu 
kudai mwanachama fulani ndiye anayefaa kuwa rais na kutaka achukue fomu 
watamuunga mkono, nchi haitakuwa salama na sababu tunazo.
"Lazima
 tujiulize kwanini iwe yeye wakati kuna baadhi ya makada ndani ya CCM 
wanaotajwa kutaka kuwania urais wakiwa na sifa zinazokubalika ndani ya 
chama kuliko huyo wanayemtaka...chama hakiwezi kusikiliza maneno ya watu
 kwani nafasi yenyewe ni nyeti,"alisema.
Aliongeza
 kuwa, uteuzi wa mgombea urais CCM baada ya wagombea wote kuchukua fomu 
za kuomba kuwania nafasi hiyo, kila mmoja atatakiwa kutafuta wadhamini 
kwenye mikoa 10 na kuzirudisha kwa mchakato mwingine.
Majina
 ya wagombea hao yatapelekwa kwenye Kamati ya Maadili ambayo itayapitia 
na baadaye kwenda Kamati Kuu kwa ajili ya uteuzi wa majina matano.
"Haya
 majina matano yatapelekwa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ili yaweze 
kupigiwa kura na kupatikana majina matatu ambayo yatapelekwa katika 
Mkutano Mkuu ambao nao utapiga kura ili kumpata mgombea mmoja," alisema.
Sifa za wagombea urais
Mjumbe
 huyo aliongeza kuwa, ili mgombea urais wa CCM aweze kuchaguliwa katika 
nafasi hiyo mbali ya kupitia taratibu alizozitaja awali ndani ya chama:
  
kwanza ; anapaswa kuwa na uwezo wa kuliongoza Taifa kwa kuzingatia uzoefu alionaokatika uongozi wa shughuli za Serikali, umma na taasisi.
kwanza ; anapaswa kuwa na uwezo wa kuliongoza Taifa kwa kuzingatia uzoefu alionaokatika uongozi wa shughuli za Serikali, umma na taasisi.
Pili; awe mwadilifu, mwenye hekima na busara.
  
Tatu; awe na elimu ya kiwango cha Chuo Kikuu au inayolingana na hiyo.
  
nne; awe mwenye upeo na uwezo mkubwa wa kudumisha, kuimarisha na kuendeleza Muungano wetu, umoja, amani na utulivu wetu pamoja na mshikamano wa kitaifa.

Tano; awe
 mtu wa kuona mbali, asiyeyumbishwa, mwenye uwezo wa kufanya uamuzi wa 
busara kuhusu masuala nyeti na muhimu ya Taifa kwa wakati unaofaa.
  
sita; awe na upeo mkubwa usiotiliwa shaka kuhusu masuala ya kimataifaili aweze kuwa kiungo imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa jumla.
sita; awe na upeo mkubwa usiotiliwa shaka kuhusu masuala ya kimataifaili aweze kuwa kiungo imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa jumla.
Saba; asiwe
 mtu mwenye hulka ya udikteka au ufashisti bali aheshimu na kuilinda 
Katiba ya nchi, sheria, utawala bora, kanuni na taratibu za utawala 
bora.
  
nane; awe mtetezi wa wanyonge, kusimamia haki za binadamu, mzingatiaji makini wa maendeleo ya raia wote na asiwe na tamaa ya kujitafutia umaarufu wake binafsi.
nane; awe mtetezi wa wanyonge, kusimamia haki za binadamu, mzingatiaji makini wa maendeleo ya raia wote na asiwe na tamaa ya kujitafutia umaarufu wake binafsi.
Tisa; awe mstari wa mbele kuzifahamu, kuzieleza, kuzitetea na kuzitekeleza Sera za CCM na Ilani ya CCM ya Uchaguzi.
  
kumi; awe mpenda haki na jasiri wa kupambana na dhuluma,maovu yote nchini.
  
kumi na moja; asitumie nafasi yake ya uongozi kujilimbikizia mali.
kumi; awe mpenda haki na jasiri wa kupambana na dhuluma,maovu yote nchini.
kumi na moja; asitumie nafasi yake ya uongozi kujilimbikizia mali.
Kumi na mbili; awe ni mtu anayekubalika na wananchi.
  
kumi na tatu; awe makini katika kuzingatia masuala ya uwajibikaji wa uongozi, watendaji, asiyevumilia uzembe katika utekelezaji wa majukumu ili kuinua nidhamu ya kazi, tija na ufanisi.
kumi na tatu; awe makini katika kuzingatia masuala ya uwajibikaji wa uongozi, watendaji, asiyevumilia uzembe katika utekelezaji wa majukumu ili kuinua nidhamu ya kazi, tija na ufanisi.
Aliongeza
 kuwa, kati ya sifa 13 za mgombea urais CCM zilizotajwa na Mjumbe wa 
NEC, kutokana na uchanga wanchi yetu, lazima mgombea awe na upeo mkubwa 
usioatiliwa shaka kuhusu masuala ya kimataifa ili aweze kuwa kiungo 
imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa jumla.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >