Habari Kali
Loading...

Hiki ndicho alichosema Boss wa Facebook baada ya kuulizwa kwanini anavaa Tshirt hii moja tu kila siku?

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Screen Shot 2014-11-08 at 11.49.40 PMHapa nyumbani Tanzania nimeshawahi kusikia kuhusu matajiri wachache wanaofanya biashara ambao huwa hawabadili nguo zao au huwa kuna vitu wanafanya vinavyopelekea hisia za watu kuamini kwamba utajiri wao ni wa uchawi.
Mfano kuvaa nguo ya aina moja hiyohiyo kila wakati, wengine huwa wanatembelea magari mabovu kabisa lakini watoto wao na wake zao wanatembelea magari makali na wanabadilisha kila wakati, wengine tunaambiwa wanalala barazani.
Sasa hii ya tajiri wa mtandao wa kijamii wa Facebook wenye watumiaji zaidi ya bilioni moja kote duniani Mark Zuckerbeg sijui watu wataiweka kwenye kipande gani manake ameonekana mara nyingi sehemu na nyakati tofauti akiwa amevaa Tshirt moja tu ya kijivu.
Screen Shot 2014-11-08 at 11.49.56 PMNi swali ambalo Waandishi wengi waliwahi kutamani kupata time ya kumuuliza ambapo kwa bahati nzuri kaulizwa kwenye kipindi cha maswali na majibu na akatoa jibu akiwa na tabasamu zito kabisa.
‘Nimepata hii bahati ya kipekee kuwa kwenye nafasi niliyonayo, ninaamka kila siku na kuwahudumia zaidi ya watu bilioni moja duniani… naona sitofanya kazi yangu vizuri kama nitatumia muda wangu kwenda kutafuta/kuchagua nguo nzuri, tshirt mnayoniona nayo ni ya rangi moja lakini nilizinunua nyingi za namna hii’
‘Ni Tshirt ambayo sio moja… ninazo nyingi ila zinafanana, muda wangu mwingi nimeutenga kwa ajili ya kuhudumia watu na sio kujihudumia mimi kwenye kuchagua nguo nzuri, mavazi ni kitu kidogo sana kwangu’

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top