Afisa
mmoja wa Polisi Kenya na dereva wa bodaboda wamefariki baada ya kupata
ajali.. taarifa kutoa kituo cha K24 wamesema ishu ilianzia Afisa huyo
alipomkamata jamaa mmoja na kumdai rushwa, jamaa aligoma kutoa kiasi cha
pesa ambacho Afisa huyo alikitaja.
Baada ya mtu huyo kugoma kutoa rushwa
ambayo Afisa huyo aliitaja, alimtoroka na kukimbia.. Askari
akamsimamisha jamaa wa bodaboda ili wamkimbize, safari yao haikufika
mbali.. walipata ajali hiyo kwa kugongana na gari ndogo.
“Kuna
mtu alikuwa amemshika akiwa amebeba begi sasa huyo mtu alimpatia elfu
moja yule Askari akakataa.. alipokataa huyo jamaa akachomoka akavuka
akaingia kwenye matatu iliyokuwa imetelemka hivi”–alisema mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo.
Ajali hiyo ilifanya dereva wa pikipiki na Askari huyo kufariki eneo la tukio.
Kutokana na Sheria za nchi hiyo Polisi haruhusiwi kupanda gari lolote wala pikipiki anapomkamata mtu.
Nimekuwekea taarifa hiyo iliyoripotiwa na kituo cha K24…
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >