Kuna jamaa yangu yupo kwenye ndoa kwa miaka saba na hajafanikiwa kupata
mtoto..hivi karibuni analikuwa ananipigisha stori fulani hivi ambazo
nilikuwa sizielewielewi.
Juzi amekuja kutoka Morogoro amekuja nyumbani kwangu Dar anasisitiza
anataka nimsaidie kutafuta dawa ili mkewe apate ujauzito eti
wamekubaliana na mkewe wanishirikishe mimi kwa sababu ni msiri na
mstaarabu.
Ili mke wake apate ujauzito kumbuka mimi siyo daktari. Alivyoona nakuwa
mkali akaniambia atanipigia simu akifika Morogoro ili tujadiliane
vizuri.
Ameondoka leo asubuhi kimsingi mimi sijaoa na sijaona sababu ya kufanya ujinga huo. Wanajukwaa mimi msimamo wangu ni hapana.
Ushauri tafadhali
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >