Habari Kali
Loading...

MAFURIKO YAWALIZA MASTAA WA BONGO!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Gladness Mallya KUTOKANA na mvua kubwa iliyonyesha na inayoendelea jijini Dar ambayo imesababisha mafuriko kwenye majumba ya watu na maji kujaa barabarani hivyo magari kushindwa kupita, baadhi ya mastaa Bongo, wamejikuta wakilizwa na hali hiyo kwani imewaathiri katika maisha yao ya kawaida na kwenye kazi zao.
Adha ya mafuriko jijini Dar.
Wakizungumza na gazeti hili juu ya majanga hayo ya mafuriko yaliyowakumba hasa watu waishio mabondeni, mastaa hao walikuwa na haya ya kusema:
WASTARA JUMA:
“Mafuriko yameniathiri kwani niko karibu na Mto Msimbazi (nyumbani kwake Tabata) hivyo hata kutoka nyumbani naogopa kwa sababu ya watoto. Nyumba ninayoishi kuna mfereji niliochimba nje, ukijaa maji yanaingia kwenye vyoo ndani, shida tupu.”

AUNT EZEKIEL:
“Niko tu ndani (Mwananyamala) siwezi hata kutoka kwenda popote kwa sababu maji yamejaa kila sehemu, nimesimamisha shughuli zangu kwa sababu barabara zenyewe hazipitiki, ukweli hii mvua imeathiri sana.”

YOBNESH YUSUF ‘BATULI’.
YOBNESH YUSUF ‘BATULI’:
“Ukweli naipongeza sana serikali kwa miundombinu mibaya, bungeni kila mwaka wa bajeti zinapitishwa mamilioni ya fedha lakini miundombinu mibovu, mafuriko kila sehemu nyumbani (anaishi maeneo ya Sinza) ni shida.

KULWA KIKUMBA ‘DUDE’
“Namshukuru Mungu nyumba yangu ipo mlimani (anaishi Jet-Lumo) maji hayajaingia ndani lakini hali ni mbaya kwani siwezi kutoka kwenda kwenye shughuli zangu, mipango yote imekufa nashinda ndani tu na familia.“Watoto hawajaenda shule, walimu walitupigia simu wakasema wasiende kutokana na hali halisi ya mafuriko.”

AUNT EZEKIEL.
MAYASA MRISHO ‘MAYA’:
“Huku ninakoishi (Msasani) maji yamejaa kweli kila sehemu, hakuna pa kupita huko kwa mama yangu Magomeni sijui itakuwaje maana ndiyo zaidi, serikali inatakiwa iliangalie suala hili na kulitatua kwani hii yote inatokana na miundombinu mibovu.”

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top