STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha' usiku wa kuamkia leo
amevamiwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wapatao watano nyumbani
kwake Kijitonyama jijini Dar na kuporwa baadhi ya mali.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Nisha ameandika kuwa majambazi wapatao watano wakiwa na gari walivamia nyumbani kwake na kumpora huku akimshukuru Mungu maana yeye yuko salama.
Staa huyo pia aliweka picha ya gari lake lililokuwa limeibiwa baadhi ya vitu na majambazi hao kisha kuandika hivi:
Tukio
hili limetokea ikiwa ni siku chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Ali
Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ naye kuvamiwa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi
wapatao 20 nyumbani kwake Kunduchi, Dar kisha kumpora mali.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Nisha ameandika kuwa majambazi wapatao watano wakiwa na gari walivamia nyumbani kwake na kumpora huku akimshukuru Mungu maana yeye yuko salama.
Staa huyo pia aliweka picha ya gari lake lililokuwa limeibiwa baadhi ya vitu na majambazi hao kisha kuandika hivi:
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >