Habari Kali
Loading...

DIAMOND KUSHTAKIWA, BAADA YA KUWATELEKEZA WATOTO ALIOAHIDI KUWASOMESHA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Waandishi wetu STAA wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’ ambaye aliwatelekeza watoto wawili alioahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, atashtakiwa mahakamani endapo wazazi wa vijana hao wataamua kufanya hivyo, Risasi Mchanganyiko limeelezwa.
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
Meneja wa msanii huyo, Babu Tale, awali aliulizwa na gazeti hili juu ya kinachoendelea kuhusiana na vijana hao waliotimuliwa shule Aprili mwaka huu kwa kutolipiwa ada, lakini akionekana kupatwa na jazba, alisema wanasikitishwa na jinsi wazazi wa watoto hao wanavyokiuka makubaliano, hivyo wao hawataki tena kusema lolote kwa sasa.
“Kama wao wanadhani kwa kwenda kwenye media (vyombo vya habari) ndiyo watoto wao watasomeshwa, basi na waende hukohuko watasomeshewa watoto wao,” alisema Tale aliyeonekana kukasirishwa na mwendelezo wa habari hiyo.
Tale alitoa kauli hiyo kufuatia mmoja wa wazazi hao wa watoto Hillary na Hamis, kudai kuwa hakuna maendeleo yoyote ya kulipiwa ada kwa vijana wao, kwani ingawa waliambiwa mambo yangekuwa sawa baada ya siku chache, lakini danadana zinaendelea.
Mwanasheria mmoja maarufu nchini aliyeomba hifadhi ya jina lake, aliliambia gazeti hili kuwa endapo wazazi wa vijana hao wataamua, sheria zinawaruhusu kumpeleka mahakamani msanii huyo kwa kukiuka mkataba, hata kama haukuandikwa.
“Makubaliano ya mdomo ni mkataba unaotambuliwa kisheria, mradi tu wazazi waweze kuthibitisha, tena kwa hili, inaonyesha siyo tu mkataba, bali inaonyesha Diamond hakufanya hivyo kwa mapenzi yake kwa watoto, bali baada ya wao kumfanyia kitu, aliwapeleka shule kuonyesha u-siriazi aliokuwa nao juu ya ahadi hiyo,” alisema mwanasheria huyo.
Januari mwaka jana, Diamond aliendesha shindano kwa watoto la kucheza mtindo wa Ngololo na kuahidi zawadi kwa washindi katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar. Vijana hao walioshinda, walipewa ofa ya kusomeshwa katika shule hiyo hadi kumaliza elimu yao ya msingi, lakini tangu wapelekwe hawajawahi kulipiwa ada.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top