Habari Kali
Loading...

Nasumbuliwa Sana na Mademu Japo Nimemtangaza Mpenzi Wangu Hadharani -Aslay

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Mwanamuziki Aslay Isihaka kutoka katika kundi la Yamoto Band amefunguka na kuweka wazi kuwa anasumbuliwa sana na watoto wa kike ndiyo maana ameamua kuweka mahusiano yake wazi, Aslay alifunguka hayo alipokuwa akichat Live katika kipengele cha Kikaangoni Live kinachofanyika kila siku ya Jumatano, kuanzia saa nane mchana mpaka kumi Alasiri kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.
Aslay alisema kuwa moja ya sababu iliyomfanya kumuweka wazi mpenzi wake huyo ni kutaka kutoa ujumbe kwa wale ambao wanamsumbua kuwa waache kufanya hivyo kwani tayari ana mtu ambae yeye anampenda.
"Nimeamua kuweka mahusiano yangu ya mapenzi wazi sababu nasumbuliwa sana, nahisi kufanya hivyo wataelewa na kuacha, yaani kama nimewapunguzia speed ya usumbufu"
Mbali na hilo Aslay aliweza kuzungumzia juu ya elimu yake na kusema hakuacha shule kwa sababu ya muziki ila ataendelea na shule pale alipoishia, ilaa anaamini atafanya hivyo siku za usoni.
YAMOTO BAND
Mkali huyo ambaye amejipa jina la dingi mtoto amesema kuwa hafikiri kuondoka Yamoto band wala hawazi suala hilo, ila amesema kuwa kwa sasa yeye na wenzake wanajipanga kufanya kazi za kimataifa hivyo wanasubiri majibu kutoka kwa Yemi Alade, kwa kazi ambayo wamemtumia hivyo pia ameeleza kuwa kuna kazi ambayo wamefanya na Sauti Soul wa nchini Kenya ambao waliwaomba kufanya nao kazi.
MAHUSIANO YAKE NA WEMA
Tetesi zilizopo mtaani ni kwamba Aslay Isihaka alikuwa akifukuziwa na Wema Sepetu kimapenzi na watu wengi walipouliza swali walitaka kufahamu ukweli juu ya suala hilo na ndipo hapo Aslay alipofunguka na kuweka wazi juu ya suala hilo na kusema kuwa hakuna ukweli wowote na wimbo wa Nitakupwelepweta hajaimbiwa Wema Sepetu.
"Watu wanakuwa wanaongea mambo mengi juu ya maisha yangu hususani katika mahusiano na kusambaza taarifa zisizo na ukweli, mfano watu wanasema natoka kimapenzi na Wema huo siyo ukweli kabisaa bali Wema ni kama dada yangu, ila kutokana na mambo haya ndipo niliamua kuweka mahusiano yangu wazi ili kila mtu ajue kuwa nipo kwenye mahusiano na mtu fulani na waache kusambaza taarifa zisizo na ukweli."
Kwa kifupi hizo taarifa wanazosema mashabiki hazina ukweli wowote,kwa sasa nimemtangaza mpenzi wangu na ndiye niko nae, sitaki usumbufu tena kwa sasa.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top