Jennifer Kakolaki.
Hafla hiyo iliyoambata na zawadi ya gari aina ya Toyota I.S.T kutoka kwa mume kwenda kwa mke, ilifanyika wiki iliyopita katika Ukumbi wa Shengeni uliopo Mbezi jijini Dar.
Akizungumza na Weekly Star Exclusive, Jennifer alisema anamshukuru Mungu kwa kuifikia siku hiyo muhimu kufanyika kwani ni kitu ambacho kimemletea heshima kwa wazazi wake na kwa jamii nzima inayomzunguka.
“Namshukuru Mungu kwa kunifikisha siku hii, imenipa heshima kwa wazazi wangu na jamii nzima inayonizunguka,” alisema Jennifer.
Mrembo huyo alimalizia kwa kusema kuwa, watu wengi wamekuwa wakiamini warembo wengi ni vigumu kuolewa kitu ambacho siyo sahihi kwani anaamini mrembo akijituliza kitabia, ataolewa kama wanawake wengine.
“Siyo kwamba warembo hawaolewi, hapana. Miss yeyote akiishi katika misingi ya kujiheshimu, ataolewa kama nilivyoolewa mimi,” alisema Jennifer ambaye pia aliwahi kuwa Miss Ilala namba 3 mwaka 2011.
SOURCE: GPL
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >