Habari Kali
Loading...

Usaliti...!! Mke amnasa mumewe Akila Uroda na Mwanamke mwingine ndani ya Chumba chao..

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Usaliti! Recho Mathias (23) anadai kumshika ugoni mumewe wa ndoa akiwa na mwanamke ndani ya chumba chake tena kitandani.
  
Tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita maeneo ya Mashiri, Mabatini mkoani hapa ambapo Recho alirejea kutoka safarini na kumkuta mumewe anasaliti ndoa yao na mwanamke mwingine aliyedai kuwa ni mke wake halali.

Habari zilidai kuwa baada ya Recho kukutana na hali hiyo chumbani kwake, moja kwa moja alitoa taarifa kwa viongozi wa serikali ya mtaa ambao walishirikiana na wanaharakati wa jinsia wa FARIJIKA na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers katika ‘kusovu’ ishu hiyo.

Kama kawaida, makamanda wa OFM walijiridhisha kwanza kama kweli mwanaume huyo ni mume wa ndoa wa Recho.
Ilibainika kuwa kweli ni wanandoa ambapo katika kipindi kifupi cha mwezi mmoja ambacho Recho alikuwa safarini kumuuguza bibi yake, mumewe alichukua mwanamke mwingine kwa makubaliano ya kufunga ndoa.


Baada ya kunasa tukio zima, OFM ikiwa sambamba na Recho, balozi wa mtaa na balozi kiongozi aliyejitambulisha kwa jina la Musa Mohamed, walifika eneo la tukio na kumshuhudia mwanamke mwingine wa mwanaume huyo aliyejitambulisha kwa jina la Salha Hassani akiwa amelala chumbani bila wasiwasi.

Salha alipoulizwa kama anatambua kuwa mwanaume huyo ana mke alishangaa na kusema kuwa hakuwa akijua chochote zaidi ya kusikia uvumi mtaani.

Huku akiwa na jazba, Recho alifunguka kuwa kinachomuumiza zaidi kuhusu mwanaume huyo siyo kitendo cha chumba chake kutumiwa na mwanamke mwingine bali ni mali ambazo wamechuma wote huku kiasi kikubwa zikiwa zake.

Naye mwanaume huyo alipobanwa na OFM alikataa.

Kuhusu madai ya mkewe kutaka kugawana mali walizochuma, mwanaume huyo alisema atajitahidi kumlipa huku akiomba suala hilo lisifike mbali badala yake apewe muda.

Hata hivyo, suala hilo lilipelekwa katika baraza la usuluhishi la serikali za mtaa ambapo Recho na mumewe wanatarajiwa kuitwa leo (Jumatatu)  kwa ajili ya kusikiliza shauri lao huku taratibu za kisheria za kushikwa ugoni zikifuatia.

CREDIT: GPL

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top