Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mtoto wa miaka mitatu kwa kumchezea sehemu zake za siri kwa vidole.
Akisoma
hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassani Juma alisema kuwa
mshitakiwa huyo atatumikia kifungo hicho iwe fundisho kwa wengine.
Pia
Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kuridhika na ushahidi
uliotolewa mahakamani hapo kutumia mashahidi wanne ikiwamo mtoto
aliyefanyiwa vitendo hivyo pamoja na ushahidi wa fomu ya Polisi ya
Matibabu (PF3) iliyotolewa mahakamani hapo kama kielelezo.
Awali,
Wakili wa Serikali, Felista Mosha alidai mshtakiwa alitenda kosa hilo
Oktoba 23, mwaka jana, maeneo ya Kitunda Migombani wilayani Ilala ambapo
alimwingizia vidole sehemu za siri mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa
shule ya awali ya Kitunda Mwanagati, wilayani humo.
Katika
utetezi wa awali alioutoa mshitakiwa, alidai mtoto huyo alipotea baada
ya kutoka shuleni na kwenda nyumbani kwake kuomba maji ya kunywa ndipo
alimueleza Suleiman kwamba amsaidie kumpeleka nyumbani kwao ambako hata
yeye mwenyewe hakujui.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >