STAA wa muziki wa Mnanda Bongo aliyewahi kutamba na Wimbo wa Kazi ya Dukani, Dogo Mfaume (pichani chini)anadaiwa kumtelekeza mama yake mzazi, Flora Nathaniel (60), mkazi wa Chanika, Ilala jijini Dar ambaye amekatwa miguu kufuatia kukumbwa na ugonjwa wa Kisukari mwaka 2011.
Kwa mujibu wa majirani, mwanamke huyo aliyewahi kuwa nesi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa miaka 26, amekuwa akiishi kwa shida kufuatia ulemavu alionao lakini mtoto wake ambaye ni Dogo Mfaume hajali, haendi kumwona wala kujua nini kinaendelea.
Dogo Mfaume alipotafutwa kuulizwa kuhusu hali hiyo alisema: ”Kusema ukweli uwezo sina, hali ya mama inaniumiza kichwa lakini si kwamba nimemtelekeza bali nashindwa. Watu wenye uwezo wanaoguswa na hali ya mama wajitokeze kumsaidia.”
Masaibu ya mama huyo yaliandikwa kwa undani kwenye Gazeti la Uwazi ambalo ni ndugu na hili Toleo la Agosti 26-Septemba Mosi, mwaka huu akimwomba Rais Kikwete na Watanzania wamsaidie kwani maisha yake ni magumu. Aliomba msaada upitie kwenye namba ya simu 0755 216 865.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >