Rapper na mwanaharakati Seleman Msindi aka Afande Sele amezungumzia makabidhiano ya katiba mpya yaliyofanyika juzi katika viwanja vya Jamhuri Dodoma ambapo spika wa bunge maalum la katiba, Swamwel Sitta alimkabidhi rais Jakaya Kikwete katiba inayopendekezwa.
Afande Sele amempongeza rais Kikwete kwa hatua hiyo lakini akaonya kuwa katiba hiyo ina makosa mengi.
“Kwa namna yoyote inabidi tuikubali ingawa kuna mapungufu
yanaonekana,” amesema Afande Sele na kuongeza:
“Kilichofanyika ni katiba lazima
ipatikane, lakini bahati mbaya ni kwamba ni katiba ambayo imekosa
maridhiano. Inatakiwa ili kufanya kitu hata kama wewe ni baba na unataka
kufanya kitu lazima upate maridhiano ya familia yako pamoja na watoto
wako, ila kwa sababu serikali imetumia pesa nyingi kuanzia kwa Warioba,
sasa ni lazima katiba mpya ipatikane hata bila maridhiano.
"Katiba hii imepatikana kwa kundi moja. Yaani chama cha
mapinduzi kimeichukua katiba hii kama ya kwake na kuyaacha yale ambayo
yalipendekezwa kwenye rasimu ya awali ambayo ilipatikana kupitia tume
Jaji Wariomba ambayo iliundwa na rais KiKwete.”
“Ukiangalia mpaka sasa hivi rais amekabidhiwa katiba lakini haikuwa
na maridhiano, unakuta hao hao walioandaa katiba ndio walioichagua mpaka
ikapatikana. Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kajiudhuru, hivi ana watu
wangapi nyuma yake? Mimi naamini hii ni katiba ambayo ingedumu miaka mia
moja ili kuokoa hasara kwenye taifa, lakini katiba hii piga uwa haina
miaka ishirini mbele, lazima itabadilishwa tena,”
“Katiba hii ina makosa mengi ndani ila imefosiwa kupita kwa sababu ya
kundi moja ila kwa upande wa rais Kikwete kwangu mimi siwezi kumlaumu.
Nampa hongera sana kwa kuandaa huu mchakato ingawa kumetokea makosa
mengi.”
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >